Msaada: Ofisi ya DC Kigoma Vijijini

Msaada: Ofisi ya DC Kigoma Vijijini

mr. loner

Senior Member
Joined
Aug 1, 2014
Posts
168
Reaction score
229
Wakuu habari za wkend, naomba mnisaidie ilipo ofisi ya Mkuu wa Wilaya Kigoma Vijijini.
 
kama uko ujiji nenda mnarani reginal block watakuelekeza mkuu..ni karibu na uwanja wa mpira kulia kwa maweni hospital.
 
Back
Top Bottom