Kamati ya Ulinzi na Usalama za mikoa ya Manyara na Kilimanjaro zimelifunga kwa muda wa miezi sita bwawa la Nyumba ya Mungu lililopo Mwanga mkoani Kilimanjaro kutokana na kukithiri kwa vitendo vya...
Najiwazia kwa sauti tu kama experiences zote za nyuma zikafutwa halafu upewe nafasi tena ya kuchagua baadhi ya mambo itakuaje? Mume au mke ulie nae sasa atakua chaguo lako tena? Kama ni mshabiki...
-- siku moja nikiwa kwenye gar ya mwendo kasi naenda zangu site kimara. Kwenye gar tulikuwemo watu wa kada mbalimbali, wazee, vijana, na watoto.
--saa sita mchana nikaingia kwenye gari. Safar...
Wapendwa jioni ya leo naomba tutafakari kwa pamoja umuhimu wa kusaidia ndugu zetu.Nimeona pia ni vema niwaletee mafungu machache kutoka kwenye biblia takatifu.
**4 Lakini hawatakuwako maskini...
Amani na upendo kwenu.
Kwa uzoefu wangu,barabara ya Songea Njombe ni hatarishi sana kwa madereva pamoja na abiria wanaotumia njia hiyo. Barabara hiyo ina kona kali zilizo kwenye miinuko na...
Habari za saa hizi wapendwa
Leo nataka nitoe habari bicha kama ifuatavyo
Msataafu- hallow Mh raisi hujambo
JPM- CJAMBO MKUU HABARI ZA MAPUMZIKO
Mstaafu- ebhana bwa mdogo nimesahau ugoro...
Wengi sana wakishakula sikukuu huwa wanaishiwa mpaka inafikia hatua nauli nayo inaliwa eti.
Upo na familia huko ukweni unaishiwa nauli unaanza kuomba ndugu na jamaa walioko mjn ili wakitumie...
Mwenye kujua ujenzi wa meli mpya ya kisasa umefikia wapi atujulishe na ukarabati wa MV Victoria na Serengeti umefikia wapi maana mkulu alisema December mkataba unasainiwa na ujenzi kuanza ifikapo...
Watu saba wanahofiwa kufa maji kufuatia mvua kubwa zilizonyesha jana Alhamisi mkoani Dodoma.
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Dk Binilith Mahenge amesema watu hao wamekufa baada ya kuzama katika mashimo...
Mpiga picha Mwandamizi ambaye aliwahi kufanya kazi katika magazeti ya Nipashe na Tanzania Standard News Papers Limited, Athumani Hamisi amefariki dunia leo asubuhi katika hospitali ya Taifa...
Hali hiyo imewafanya abiria wengi kushindwa kusafiri leo Ijumaa kutokana na wingi wa abiria waliokuwepo katika kituo hicho.
Moshi. Mamia ya abiria wameendelea kufurika katika kituo kikuu cha...
TWIN BOYS,TWIN LIVES
Maisha ya duniani yapo tofauti kabisa na unavyofikiria.Wengine wanaweza sema kuna kundi la watu wachache wanapangilia kila kitu kinachofanyika duniani na ndio hao hao...
Ni kazi Nyeti unajilipua tuu na kubadilisha Uraia hii inahusisha hata ambao ni Askari hasa waliotoka Ngerengere na Monduli wamesema pia hawana Waalimu/instructors wa kijeshi.
IT HAS been a long...
Makondakta wote hususani wa mabasi ya mikoani hasahasa kampuni ya Kandahari inayoendesha safari zake katika mikoa ya Singida,Kilimanjaro na Arusha wanapaswa kujitahidi kujenga sifa nzuri...
Wadau kuna kitu kime nishangaza saana huku kwetu kisiwani . Unajuwa katika kipindi hiki cha awamu ya tano tuna aminishwa kwamba kuna uwajibikaji mkubwa wa watumishi wa uma lakini pengine kwenye...
Ilikuwa tarehe 22 December tukiwa ndani ya bus aIna ya coster tukitokea dar tukielekea bk. Baada ya kufika kutuo cha polisi Muleba tulisimamishwa na askari wakiongozwa na askari mwenye nyota na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.