Vilio kwa matrafiki kupungua

Vilio kwa matrafiki kupungua

Kilio cha samaki, machozi hubaki majini , usione kuko kimya ukadhani mambo poa, thubutu kukitoa uone kama hutakiacha ukakimbia zako
 
Wakuu ni muda sijasikia watu wakilalamika kuhusu tabia tatanishi za matrafiki wa nchi hii ... Vipi wamebadilika ..nirudishe ka stareti kangu road maana nlilipishwa faini eti honi hailii vizur Na kwamba haka kagari sio saiz yangu ni saiz ya swalehe wangu !!! [emoji41] ushaur wako ntaukoncider ...
Kama hujarekebisha tatizo 30 inakuhusu
 
Ukifuata sheria trafiki hawez kukubughudhi..mm nina miez naina wenzangu tu wanawekwa pembeni mm siguswi..sijui wanaliogopa gari langu sielewi
 
Hakuna watu wapumbavu km matrafic na polisi wao ndo wanaongoza kwa rushwa nchi. Hii wanawasumbua madereva bajaji wang km vile hawana akil. Yan dereva bajaji anaambiwa kabisa asubui tu piga kazi uniletee sh. Elfu kumi baada ya masaa mawil nakusubir apa. Yan utadhan anaijua ata gharama ya hiyo bajij shwain sana hawa watu wana njaa kma viwavi jeshi.
 
Mkuu mimi sitakuja kukulletea chai wala ugali magereza. Shauri lako. Siku hizi hakuna kusema sema ovyo.

Back
Top Bottom