Serikali imesema iko kwenye mpango wa kuwatafutia studio wanamuziki Nguza Vicking (Babu Seya) na mwanae Johnson Nguza (Papii Kocha) ili waweze kurekodi na kurudi tena katika tasnia ya muziki. Hayo...
Sitakuja kuisahau siku ile niliamka asubuhi nikiwa sina chochote, bahati mbaya ndugu mmoja akanipigia simu na kuniambia maneno ya dharau sana.
Nilikasirika sana bahati mbaya mimi ni kati ya wale...
kwa muda huu,walioko hewani wanaochungulia jf ni kama nilivyoweka hapo juu kwani mnaona ugumu gani kujisajili.au wengine ni watu msiojulikana.
njoono basi tuwe wengi
mnanikumbusha wakati nasoma...
Unakuta mtu kaajiliwa ndioo wenda serikalini au sekta binafsi lakini unakuta anawalaumu sana gradueta kwamba ni wazembe wajiajiri bila kuuliza hali yake kimaisha ni ipi au katoka familia ipi au...
Salamu wanaJF
Natumai mu wazima, ndugu wenye changamoto za kiafya poleni na muumba awafanyie wepesi, wenzangu wenye changamoto nyingine za kimaisha niwakumbushe tu 'tuzidi kupambana hii hali si...
Imekuwa ni hulka kutembezeana ubabe ubabe hata katika masuala ambayo hayana ulazima wowote. Imekuwa hivyo hivyo tokea kwa:
1. Wauza nyama na serikali za mitaa kama ilivyo ripotiwa tokea...
Leo katika pitapita nkaona hivi Vibao maeneo ya Area C.
Kibao cha kwanza Kimeandikwa *Celf* contained room
Na hicho kingine ndo hivyo tena kibabua na Migebuka ni wa Ziwa Victoria.
Nianze kwa kutoa pole kwa watumishi wenzangu hususani walimu. Poleni sana.
Nimefafakari na kuona mateso mnayopitia kwa sasa katika utumishi nikaona wacha tusaidiane kupumua. Maana hali si hali...
Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba amesema kitendo cha baadhi ya vyama vya siasa kususia uchaguzi wa ubunge katika Jimbo la Longido mkoani Arusha na maeneo mengine...
Heri ya Mwaka Mpya Wakuu....
Back to the Topic...
Mimi ni mmoja kati ya wengi waliokua na nia ya kuagiza German car (Audi A4, VW Golf) mwaka huu 2018 ila naona sasa ndoto yangu inafifia...
Hili ni jambo mtambuka sana kwa jinsi mambo yalivyo.
Imefikia hatua sasa humjui nani simba nani swala yani hatutambuani kabisa na hii hupelekewa na hofu kwa yaliyokwishatokea kupitia wapendwa...
Nawasalimu ndugu zangu,naomba kuuliza kwa wanaojua kinachoendelea TRA juu ya ukataji wa leseni,mimi nimekata leseni yangu tangu mwezi wa kumi mwaka jana lakini mpaka leo sijaoata na napigwa...
Ifike mahala wanaume mjitathmini.. Hasa wenye tabia ya kukopi kila neno la kijinga linalozuka kwenye mitandao.
Kuna hili neno "Jomoni"...
Nililiona mara ya kwanza huko insta ..nikajua ni ujinga...
Nimepita hapa mgahawa wa Kilimanjaro Fast Food uliopo katikati ya Mombo na Korogwe nimejionea mambo tofauti. Kwanza msosi wao ni mzuri una hadhi na unaendana na hela unayolipa.
Pili, wahudumu wa...
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amebaini madudu kwenye Vyama Vikuu vya Ushirika vya Mbinga (MBICU na MBIFACU) na kuagiza uchunguzi ufanyike kuanzia leo.
“Nikiondoka hapa jukwaani, viongozi wote wa...
Katika tukio mojawapo litokanalo na athari za mvua hiyo, watu wawili wanahofiwa kufariki dunia katika eneo la kata ya Kikombo, Manispaa ya Dodoma baada ya gari lao kusombwa na maji kutokana na...
Naomba kufahamishwa hivi hawa mawaziri wastaafu bado wanahadhi ya kupigiwa saluti na maafande hapa ninamaanisha wale waliohama chama tawala na ambao bado wapo chama tawala
Kwa kawaida vingozi au watu mashuhuri ambao walishakuwa na madaraka fulani Serikali zilizopita wakipatwa na tatizo Serikali iliopo madarakani huwa ya kwanza kutoa tamko au barua ya pole kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.