KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,828
- 12,320
Siku hizi imekuwa kama ni fasheni kumsikia mtu akisema "sikusikii vizuri, ngoja nipige tena", hivi hii ni halali kweli?!, tunatoa hela halali kununua vifurushi, ila huduma ni mbovu, na wananchi wamefikia hatua ya kuzoea huduma hizo mbovu, na husema kabisa "sikusikii network mbovu.
Hivi kwanini wananchi hawana utaratibu wa kudai haki zao kwa hata kushtaki mtandao husika!?
Hivi kwanini mamlaka husika hawapati hili tatizo?!
Hivi kwanini wananchi hawana utaratibu wa kudai haki zao kwa hata kushtaki mtandao husika!?
Hivi kwanini mamlaka husika hawapati hili tatizo?!