Mbona radi ni kubwa sana kuliko taarifa za mamlaka ya hali ya hewa?

mbere

JF-Expert Member
Mar 5, 2015
6,969
6,460
Unajua jamani radi ni kubwa balaa huku kwetu ila nikingalia t.v na taarifa za radia, sioni msisitizo ukilingana na ukubwa huu,
Huko tanga nako naambiwa kuna mama amefariki jana kwa Radi imempasua mgongoni na anazikwa leo.
 
Ndiyo maana ikaitwa ,,utabiri” wa hali ya Hewa!
 
Why unajicontradict mwenyewe? Kama ina uhusiano ndo maana ilitakiwa waseme ukubwa wa radi n.k

Hawawezi kwa maana ni ,,utabiri” hakuna anayeweza kutabiri kwa 100% hali ya hewa, na ndiyo maana wanatumia neno ,,utabiri” wa hali ya hewa!
 
Unajua jamani radi ni kubwa balaa huku kwetu ila nikingalia t.v na taarifa za radia, sioni msisitizo ukilingana na ukubwa huu,
Huko tanga nako naambiwa kuna mama amefariki jana kwa Radi imempasua mgongoni na anazikwa leo.
kwenu wapi?
 
Back
Top Bottom