Sisi wananchi wa wilaya mpya ya Ubungo na wapenda Amani tunamuomba IGP Sirro, Mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama mkoa wa Dsm (P. Makonda) pamoja na kamanda wa mkoa wa Dsm kufuatilia na...
Kwa wale waliofika Arusha siku za karibuni watakubaliana na mimi kuwa traffic lights mpya tangia zimewekwa hawajapatia settings
Hizo taa za barabarani zinawaka muda mfupi sana yaani sekunde 15...
Huyu jamaa watamdungua siku moja yani haogopi kwenda na vikosi vya jeshi kuripoti yanayojiri. Najua wana habari wanakinga na huruhusiwi kuwadungua ila eneo analoripoti na aina ya waasi waliopo...
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Ngara Mr Aidan Bahama
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Ngara aliwaomba wadau mbalimbali kuchangia Elimu alipokuwa anazungumza na wakuu wa shule za sekondari,za...
Siku BBC wakifungia hahari zao zisinakiliwe na vyombo vingine vya habari Tanzania tumekwisha habari yetu, hadi aibu. Itapendeza zaidi kama redio na tv zenu mkajiunga moja kwa moja na BBC wakati wa...
I'm John Haule Pesambili Ludewa moja.. Ivi vyama vya wafanyakazi vipo kweli.. Mana toka round ya tano iingie ulingoni sijasikia viongozi wa vyama wakiongea wapo kimya tu.. Sasa si bora ile...
Wajuvi tafadhali,
Naomba fahamu hawa jamaa vipi kwenye ulipaji wa madai, ninataka kujiunga nao baada ya kutendwa sehemu.
If unahisi hawako vzuri naomba ushauri ni jiunge wapi?
Wadau naombeni msaada wa ushauri, ni kampuni gani nitumie kukata bima ya gari? na pia kwa gari ya shs 9,000,000.00 (Milioni tisa) Comprehensive ni shs ngapi? msaada tafadhalini.
Nimekuwa nikisikia clouds fm wakitangaza mchezo mpya wa kamali wanauita tatu mzuka, wao wanagenerate namba tatu ktk system yao na wewe mchezaji inabidi uchague namba 3 kutoka katika namba 10 mfano...
Wakala wa majengo TBA, anazidi kung'ang'aniwa kila kona kutokana na ubabaishaji wake uliokubuhu mpaka kushinda wakala zingine zote za Serikali, wametuhumiwa kuwa wavivu, wepesi wa kuchukuwa fedha...
Jumla ya nyumba 1,600 zilizojengwa eneo la Uwanja wa Ndege wa Kimaifa wa Mwanza zimeagizwa kubomolewa
Waziri wa Ardhi, Nyumba na maendeleo ya Mkazi, William Lukuvi alisema jana kuwa nyumba...
Wakuu tumeshuhudia watu wengi wakipelekwa rumande kwa kwa kosa la kuhujumu uchumi na kunyimwa dhamana.Baadhi ya watu walionyimwa dhamana kwa uhujumu uchumi ni...
Habari wanajukwaa,
Nilipata fursa ya kuzungumza na baadhi ya wanafunzi wa hapa Tia(Uhasibu) ya Mbeya hivi karibuni,na kati ya niliozungumza nao walikuwepo waliopata mikopo ila haijaingizwa kwenye...
Nimekuwa nikisikia clouds fm wakitangaza mchezo mpya wa kamali wanauita tatu mzuka, wao wanagenerate namba tatu ktk system yao na wewe mchezaji inabidi uchague namba 3 kutoka katika namba 10 mfano...
FARU Ndugai, mnyama aliyepewa jina la Spika wa Bunge la Jamhuri ya Tanzania, Job Ndugai, ndiye hasa alikuwa kivutio kwa wabunge katika Kamati ya Bunge ya Kudumu ya Ardhi, Maliasili na Mazingira...
Naomba kujua , serikali ikikushitaki kuwa umeisababishia hasara inakuwa hasara hiyo imetokeaje.
Naomba mifano. Mfano , nimenunua mali ya serikali kwa shilingi 100. Nikaandika 200. Je hapa...
Ndio! Tunatambua "MNAOGOPA", sawa, lakini hata kusema SUGU anaonewa kwa kunyimwa dhamana pia mnashindwa hilo? Mnamtenga SUGU kwa sababu yupo CHADEMA? sio msanii mwenzenu tena? Kwamba kesho yenu...
Kupitia humu jf niliweza kushawishika kuhusu ttcl na bado lao kubwaa nami nikajitia kichwa kwenda kusajili laini yao na kuwekaa bando la mwezi.
Sasa cha kushangaza nipo mkoani tena ni moja jiji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.