Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kumekua na vipindi vingi katika TV na Radio station mbali mbali, Tukiongelea zaidi Media kubwa kubwa unahisi ni kipindi cha aina gani kwa sasa kikianzishwa kitateka watu wengi, kiwe kipindi cha...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Sijajua tatizo linakuwa nini unakuta watu katika familia moja na ndugu wa karibu tuu Unakuta hapendi kuona ndugu yake akipata mafanikio yaani anapenda kuona ndugu yake maisha yake abakie hivyo...
1 Reactions
47 Replies
5K Views
Maombi Muda mwingi kusoma vitabu na kutafakari , nimeshuudia watu kadhaa wakipoteza fahamu na kuwa kama wamerukwa na akili Kwanini wakuu?
0 Reactions
17 Replies
2K Views
SOMA NA UTIE AKILINI 1. Kuzaliwa kwako kumefanywa na WATU WENGINE. 2. Jina lako umepewa na WATU WENGINE. 3. Umepata elimu kutoka kwa WATU WENGINE. 4. Kipato chako kwa namna fulani kinatoka kwa...
5 Reactions
20 Replies
3K Views
Habari za mchana wana jf. Baadhi ya wavulana na wanaume wamekuwa na tabia ya kuwa gegeda watoto wa wenzao wana wachafua ukeni kuna haribika wangali wabichi kutokana na mimbegu yao yenye UTI na...
0 Reactions
6 Replies
931 Views
Siku moja jioni Rais Obama alimshauri mkewe wakale dinner mtaani huko Washington ktk mgahawa wowote wa watu wa kawaida. Wakakubaliana kisha Obama akatoa taarifa kwa walinzi wake wawe tayari maana...
5 Reactions
7 Replies
3K Views
Kuna dhana imejengeka miongoni mwa watu haswa waliolelewa kwenye misingi ya dini kuwa Nyoka ni shetani au ni agent wa shetani.Dhana hii ni potofu na inapaswa kukemewa na kuondosha kwenye fikra za...
6 Reactions
20 Replies
7K Views
Habari wakuu. Tunawashukuru bodi ya MISHAHARA kwa kuwa suala la mishahara kwa WATUMISHI wapya limeanza kufanyiwa kazi baadhi wamepokea salary ila si wote. Ninachoomba ni chonde chonde wapatieni...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Ingawa Ibara ya 12 (1) ya Katiba ya Tanzania inasema binadamu wote huzaliwa huru, na wote ni sawa na kila mtu anastahili heshima ya kutambuliwa na kuthaminiwa utu wake. Kwamba watu wote ni sawa...
0 Reactions
1 Replies
5K Views
Siku za hivi karibuni katika posta ya Arusha (Meru na Clock Tower) kumekuwa na upotevu mkubwa wa vifurushi hususani vile vinavyotoka nje ya nchi. Hata pale ambapo kifurushi kina kuwa na tracking...
1 Reactions
19 Replies
3K Views
Wakuu salamu kwenu,mara paaap mshahara umeingia, nachukua kiasi kadhaa cha pesa kinachotosha kuhudumia familia kwa chakula kwa takribani siku 30 nampatia wife anunue mazagazaga ya nyumbani halafu...
1 Reactions
7 Replies
957 Views
Rais Joseph Kabila ameahidi kwamba uchaguzi wa urais nchini humo utafanyika mwezi Disemba. Rais Joseph Kabila amepinga ukosoaji unaotekelezwa na jamii ya kimataifa kuhusu kucheleweshwa kwa...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Watu wanane wamefariki dunia katika mazingira tofauti kuanzia Jumatatu hadi juzi wilayani Kiteto mkoani Manyara, huku chanzo cha vifo hivyo kikiwa bado hakijajulikana. Wakati wakazi hao...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani hii sio fair! Watu maarufu ndiyo wakilia shida kidogo wanasaidiwa kwenda kutibiwa nje ya nchi sisi kajamba nani hakuna kitu kama hicho. Kwa wale wafutiliaji wa kipindi cha njia panda cha...
2 Reactions
6 Replies
907 Views
Shambulio la risasi dhidi ya Tundu Lissu limesababisha rais huyo wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), atumikie nafasi hiyo kwa miezi sita baada ya kujeruhiwa vibaya. Lissu, ambaye kwa sasa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Hili swali najiuliza sana hivi vindege vidogo vinavyoruka mikoani kama coastal,zana air auric kwann vinapaa na rubani mmoja? Hivi mfano siku rubani mmoja anapata tatizo angani itakuwaje? Mamlaka...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Hakuna chochote katika maisha cha kupigania! Nguo zako zile bora kabisa kuna mtu kwake ni matambara tu. Akiba yako kwenye akaunti ya Benki ni sawa na mchango wa mtu katika sherehe tu. Boyfriend...
27 Reactions
49 Replies
9K Views
Habari zenu wapendwa? Nilikuwa naomba kuwauliza kwa wale wazoefu.nafikira kufanya online masters degree katika business administration kutoka kwenye vyuo vya nje ya nchi hasa vile vilivyoko...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hadi sasa January inaisha darasa la 4 hawana kitabu chochote sasa walibadilisha mtaala wa nini? Kama Hawana Uwezo wa kutoa Vitabu? Alafu Mtaala wao eti waishie darasa la 6? Mko serious kweli? Ma...
1 Reactions
8 Replies
858 Views
Mamalaka ya Mapato Tanzania (TRA) imesitisha utoaji wa huduma za usafiri kwa kampuni ya mabasi ya Kilimanjaro Express Limited baada ya kushindwa kulipa kodi ya Sh500 milioni. Mkurugenzi wa Huduma...
2 Reactions
190 Replies
23K Views
Back
Top Bottom