Wasanii wa muziki wa kizazi kipya, mmesahau kabisa harakati za SUGU kupigania muziki wenu usimame?

mr mkiki

JF-Expert Member
Sep 22, 2016
5,583
11,659
Ndio! Tunatambua "MNAOGOPA", sawa, lakini hata kusema SUGU anaonewa kwa kunyimwa dhamana pia mnashindwa hilo? Mnamtenga SUGU kwa sababu yupo CHADEMA? sio msanii mwenzenu tena? Kwamba kesho yenu ninyi mnaifahamu? Wasanii wa Tanzania, jitoeni huo upofu mliojivika arifuuu.

SUGU sio mbunge wa wasanii, sio mbunge wa viti maalum au kuteuliwa, amechaguliwa na watu wa Mbeya, The most voted MP, Unataka afanye kazi ya sanaa kuliko kazi yake maalum ya jimbo la Mbeya mjini? Unataka awatetee vipi? Ni waziri kivuli wizara ya habari, haujui application yake?

Wasanii wa muziki wa kizazi kipya, mmesahau kabisa harakati za SUGU kupigania muziki wenu usimame? SUGU yupo mahabusu siku kumi, wasanii mmepiga kimya, mahakamani hamtokei, Magereza hamfikii kumuona, mmeamua kumtumikia "kafiri?" Mmesahau alianzisha harakati za Kugoma kuimba bure?

DUYnsMxX0AABKuR.jpg

mr mkiki.
 
Ni ngumuu sanaaaa kwa hawa wakta mauno wa ccm lbda faiza atamsimamia
 
- Walimuunga mkono enzi za BIFF lake na CLOUDS. Mara paaap akabadili GIA Angani akayamaliza na CLOUDS na kuwaacha wenzake SOLEMBA Wakifa NJAA [HASHTAG]#VINEGA[/HASHTAG]

- Kwa sasa kila mtu apambane na HALI yake
SUGU hajaanza kudai maslahi ya wasanii leo. Usichanganye issue ya dili la malaria na harakati za SUGU. Jongwe kafanya TANZANIA HIPHOP SUMMIT kubwa pale Wet n Wild mwaka 2004, nani amewahi kufanya kitu kama hiko? issue ya malaria ni suala binafsi sana. Usichanganye.
 
Watu wa Mbeya akili bhange tu, Nakupuuza
 
Watu wa Mbeya akili bhange tu, Nakupuuza
unachanganya 'hisia binafsi' na 'uhalisia' unaishia kuhamasisha mguu tu. Unataka DESDERIA HOTEL iwe studio ya muziki? Unataka kuona harakati zipi za kudai haki za wasanii zaidi ya kuwasilisha kwa maneno na vitendo taarifa rasmi ya wizara yake?
 
Yaani avunje sheria hivi hivi halafu ategemee kukingiwa kifua na wasanii wengine? Huu utakuwa ni ulofa wa hali ya juu.
 
SUGU hajaanza kudai maslahi ya wasanii leo. Usichanganye issue ya dili la malaria na harakati za SUGU. Jongwe kafanya TANZANIA HIPHOP SUMMIT kubwa pale Wet n Wild mwaka 2004, nani amewahi kufanya kitu kama hiko? issue ya malaria ni suala binafsi sana. Usichanganye.
Summit hiyo nakumbuka walikuja wasani mbalimbali toka nchi za Africa...
Sugu harakati Kaanza kitambo sana...

Ova
 
Diamond naye akikamatwa itabidi waseme anaonewa maana ameutangaza muziki wetu nje ya nchi.
 
Yaani Bongo Nyoso tu ...awana jipya lolote awa wasanii yote hayo wanamuonea Wivu Mh Sugu ...ila atatoka tu kudadeki zao...heaters lazima mfe...wasanii mnaloho mbaya sana. ..ndo maana mnapiga show za miambili .
 
Yanayomkuta yanahusiana na siasa sio Muziki,

Hivyo ya Kaizari apewe Kaizari, Wanasiasa wenzake wapambane.
 
Back
Top Bottom