Nyumba 1600 kubomolewa Mwanza

Nyumba 1600 kubomolewa Mwanza

real G

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2013
Posts
5,227
Reaction score
5,303
Jumla ya nyumba 1,600 zilizojengwa eneo la Uwanja wa Ndege wa Kimaifa wa Mwanza zimeagizwa kubomolewa

Waziri wa Ardhi, Nyumba na maendeleo ya Mkazi, William Lukuvi alisema jana kuwa nyumba nyingine 664 zimejengwa kwenye eneo lililotengwaa kwa ajili ya Jeshi la Polisi na kutoa maagizo kuwa nyumba 4461 kati ya hizo zinatakiwa kubomolewa na eneo hilo lisiendelezwe tana hadi maelekezo mengine yatolewe

Waziri Lukuvi alisema rais Magufuli amemuagiza kukagua maeneo hayo na kuzungumza na wakazi wake kabla ya hatua kuchululiwa mwishoni mwa mwaka huu

pango+pic.jpg



===========================================================
Mwanza. A total of 1,600 houses built in the vicinity of Mwanza International Airport could be demolished.

The Minister of Land, Housing and Human Settlements Development, Mr William Lukuvi, said yesterday that 664 other houses had been built on land set aside for the Police Force, and directed that no further development take place in the area, pending a new directive.

“There are 664 houses that have been built on land belonging to the Police Force. Of the houses, 461 should be removed. I’m directing that no further development should take place in the area until further notice. There are also 1,600 houses, whose owners have encroached on Mwanza airport land. These must be demolished,” he said.

He said President John Magufuli had directed him to inspect the areas and speak to residents before further measures were taken before the end of the year.

President Magufuli last October ordered the indefinite suspension of the demolition of about 3,000 houses in Kigoto, Mhonze and Kayenze in Ilemela Municipality.

“They might have been illegally built, but I direct that the shouldn’t be demolished until the government decides on its next course of action,” Dr Magufuli said when addressing a public rally during the official opening of Furahisha pedestrian bridge in Mwanza.

He directed the ministries of Works, Communications and Transport; Land, Housing and Human Settlements Development; Home Affairs; Mwanza regional commissioner’s office and Ilemela Municipal Council to meet and suggest how to resolve land disputes between civilians and government institutions.


Source: The Citizen
 
fresh tu..yote maisha..kuzungumza nao kama hakuzuwii kubomoa au hakuwafidii nyumba zao basi haisaidii chochote..ni sawa na kutukanwa kwa sauti ya kinyonge..tusi liko palepale
 
Hawa ndiyo waliompa urais, haitawezekana kubomoa nyumba zao..
 
Hivi serikali kwanini isitafute maeneo na kufanya hayo mambo wanayotaka kufanya badala ya kuwabomolea hao watu wote makazi yao?Nyumba elfu 4 kwa mitaa ya uswazi unaweza kuta kuna watu elfu 80 na zaidi!
 
Hawa mkulu aliagiza wasibomoleshewe nyumba zao maana ndio waliompa kura nyingi sana!
 
Hivi serikali kwanini isitafute maeneo na kufanya hayo mambo wanayotaka kufanya badala ya kuwabomolea hao watu wote makazi yao?Nyumba elfu 4 kwa mitaa ya uswazi unaweza kuta kuna watu elfu 80 na zaidi!

hata mimi nilishawahi kusema hivyo,

kubomoa na kujenga tena,mbona ni expensive Zaidi???

Kujenga mji mpya ni rahisi na maeneo tunayo....

ukijenga vizuri,ukaweka miundo mbinu vizuri,

watu watataka kuhamia hapo,

sasa hii bomoa bomoa hivi hamna watu waliokufa kwa pressure kweli?
 
Vunja mpaka ikulu ya Capli Point,, si walikuchagua wenyewe **** waonyeshe maujuzi,
 
Back
Top Bottom