kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 18,290
- 17,574
Siku BBC wakifungia hahari zao zisinakiliwe na vyombo vingine vya habari Tanzania tumekwisha habari yetu, hadi aibu. Itapendeza zaidi kama redio na tv zenu mkajiunga moja kwa moja na BBC wakati wa taarifa ya habari zao ili kila mtu asikilize mwenyewe moja kwa moja BBC badala ya radio kuchota habari za BBC na kuzipeleka kwenye tutaarifa twa habari twao.