Wadau naombeni msaada wa ushauri, ni kampuni gani nitumie kukata bima ya gari? na pia kwa gari ya shs 9,000,000.00 (Milioni tisa) Comprehensive ni shs ngapi? msaada tafadhalini.
Jaribu Jubilee mkuu. Hiyo laki tisa kwa comprehensive ni 3% of 9,000,000 means 270,000 Tsh per year. All the best
Nakushauri jubilee, usikate Zanzibar Insurance au National insurance wasumbufu sana Kwenye kulipa. Speaking from experience
Heritage wako vizuri pia
asanteni sana wakuu kwa ushirikiano wenu, huyu agent alitaka kunitoa shs. 380,000 kwa thamani ya m9, asanteni sana kwa ushauri wenu.
Bumaco Insurance wako vizuri mkuu.
Wacheki pale Luther House floor ya 3 kama sijakosea.
JF Insurance,mcheki Pdiddy
duh! Mi nashauri angechangia jfukishukuru ujue na kutoa 380,000-270,000=110,000
10% ya 110,000 11,000 hii peleka kanisani
baki 99,000
hiyo tuangalie ndugu zako tuliokupa ushauri ukiwemo huu wa kanisani unatutoaje ??
ukishukuru ujue na kutoa 380,000-270,000=110,000
10% ya 110,000 11,000 hii peleka kanisani
baki 99,000
hiyo tuangalie ndugu zako tuliokupa ushauri ukiwemo huu wa kanisani unatutoaje ??
Yes wako 3th floor mkuu...
MPWA Matola
wanafurahia awataki kushukuru ndio maana wanaendelea kugongwa za bei juu ...
mkuu ukipindisha ushauri wangu Mungu lazima akukamate sehemu nyingine utaziamishia zote hapo anza na sadaka
umalize na washauri jf