majebsmafuru
JF-Expert Member
- May 1, 2017
- 463
- 649
Wakala wa majengo TBA, anazidi kung'ang'aniwa kila kona kutokana na ubabaishaji wake uliokubuhu mpaka kushinda wakala zingine zote za Serikali, wametuhumiwa kuwa wavivu, wepesi wa kuchukuwa fedha lakini kuwa mabingwa katika kubabaisha kazi na hata kuchelewelesha ujengaji wa majengo waliokubaliana na Taasisi za serikali, hata kutuhumiwa KUHIFADHI PESA KWENYE FIXED DEPOSITS ili wale faida!
TBA ni jipu liloiva na kusubiri tu kutumbuliwa kutokana na viongozi wake kuwa vipofu ama viziwi kwa kufikiria mambo hayajabadilika, wakidhani wako juu ya sheria na wakiendelea kufanya kazi kwa mazoea wakisahau Serikali ya awamu ya 5 haina mchezo mchezo..
Wamelalamikiwa kuchelewesha kazi kwa zaidi hata miaka kwa sababu zisizo kichwa wala miguu...
Wanadhani wanaweza fanya kazi kwa mazoea na dharau kama vile "they are untouchables"..
TBA wanahatari ya kufia huko na kutokana masihara wanayofanya, inasikitisha sana kuona Rais wetu kupitia Taasisi za Serikali kuwapa tender za ujenzi lukuki huku TBA wakimwangusha bila woga au aibu..
Hizi ni baadhi ya tuhuma zao...

- Expasion joints kwenye Hostel Dar Es Salaam
- Nyufa Hosteli Mpya UDSM Zazua Kizaa Zaa, TBA Watolea Ufafanuzi via YouTube
- Ujenzi Mara hatimaye Majaliwa kuuvunjilia mbali mkataba
- Ninawapa wiki moja la sivyo tutavunja mkataba na TBA'- Waziri ... via YouTube
- TBA Itathmini Ubora Jengo la Kituo cha Forodha Cha Sirari - Majaliwa via YouTube
- Waziri Mkuu amuadabisha Meneja TBA via YouTube