TTCL mmenikwaza sana na huduma yenu

TTCL mmenikwaza sana na huduma yenu

Eng.Dullah

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2014
Posts
372
Reaction score
304
Kupitia humu jf niliweza kushawishika kuhusu ttcl na bado lao kubwaa nami nikajitia kichwa kwenda kusajili laini yao na kuwekaa bando la mwezi.

Sasa cha kushangaza nipo mkoani tena ni moja jiji kubwa tu hapa Tanzania na naishi maeneo ya karibu sana kutoka mjini kati ila cha kushangaza kuna mda nakoswa network kabsa kutokana na ubora wa internet wanayotoa, vilevile nikiwa mjini kati linasua sua pia.

Nachojiulza halotel ni kampuni imeanza juzi juzi tu ila wapo strong kila sehemu. Je hawa TCCL nani kawaroga?
 
Wewe na akili zako kweli unaenda kununua line za hawa jamaa ambazo hata wanafanyakazi wa kampuni husika hawazitumii?
Teh! Mkuu nlnunua kwa ajili ya kukwepa cost nazoingia kwa mwezi natumia zaid ya Tshs60 na ktu
 
Huo ndio uzalendo mkuu kwa mujibu wa wenye nchi.
Binafsi yangu ukiachilia mbali monopolized state organizations siwezi kwenda shirika la umma lenye washindani
 
Hahaha we komaa nayo tu soon zitakuwa bure, wameanza utaratibu kuichukua airtel. Mali ya umma itakuwa bure, kama imekusaidia kuingia JF inatosha.
 
Hahaha we komaa nayo tu soon zitakuwa bure, wameanza utaratibu kuichukua airtel. Mali ya umma itakuwa bure, kama imekusaidia kuingia JF inatosha.
Uwez amini leo nmeamka nina kisilani kaivunja vunja. Hahahaaa wafie mbele
 
Kupitia humu jf niliweza kushawishika kuhusu ttcl na bado lao kubwaa nami nikajitia kichwa kwenda kusajili laini yao na kuwekaa bando la mwezi.
Sasa cha kushangaza nipo mkoani tena ni moja jiji kubwa tu hapa tanzania na naishi maeneo ya karibu sana kutoka mjini kati ila cha kushangaza kuna mda nakoswa network kabsa kutokana na ubora wa internet wanayotoa, vilevile nikiwa mjini kati linasua sua pia.

Nachojiulza halotel ni kampuni imeanza juzi juzi tu ila wapo strong kila sehemu. Je hawa tccl nani kawaroga?
Mleta mada mpika majungu huo mkoa na mji hauna jina.Umbeya haufai mtoto wa kiume
 
Mkuu umbea hapa upo wapi kisa sijataja mkoa. Acha challenge kumaa na griss yako
Kinachokufanya ushindwe kutaja mkoa na mji ulipo nini kama sio umbeya na majungu yaliyokujaa.Wewe ni mwenyekiti wa kamati za majungu mitaani nini?
 
Kinachokufanya ushindwe kutaja mkoa na mji ulipo nini kama sio umbeya na majungu yaliyokujaa.Wewe ni mwenyekiti wa kamati za majungu mitaani nini?
Hahaa asante!! We jua npo mkoani inatosha kwako
 
Uwez amini leo nmeamka nina kisilani kaivunja vunja. Hahahaaa wafie mbele
Kadi ya TTCL si nikama kitambulisho cha taifa tu, ukiuchana ile ni 100% serikali huogopi hahaha.
Itunze NEC watasema unaweza kuitumia kupiga kura kama umepoteza kitambulisho chao. We Komaa nalo tu hahaha hivyohivyo,kwani ulitaka network yanini zaidi ya kuingia humu JF?! Hahaha
 
Hahaha kwa hilo watapiga kura wawili kati ya mia
 
HIVI LINE ZAO ZINAPATIKANA WAPI MI NAZISAKA SANA ILA SIJAZIPATA
 
Back
Top Bottom