Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Hivi kuna mtu tofauti na raia wa Nigeria wenyewe huwa anaelewa English ya Nigeria? Mimi huwa sielewi Kingereza wanachozungumza Wa Nigeria hasa wa mtaani au wanamuziki na comedians wao wengi.
11 Reactions
79 Replies
2K Views
Katika juhudi ya kukuza viwanda vya ndani vya magari, serikali ya nchini Ghana imeipa likizo ya kodi ya miaka 10 kampuni ya kutengeneza magari ya mtume Osafo Kantanka ijulikanayo kama KANTANKA...
3 Reactions
53 Replies
11K Views
Maeneo mengi kama kwenye taasisi za kawaida kama familia, makanisa, na makundi ya kijamii, kumekuwa na tabia ya kupuuza muda katika uendeshaji wa vikao. Kinachoshangaza zaidi ni kwamba mara nyingi...
0 Reactions
0 Replies
71 Views
Kuna wakati huwa nawaza, hivi inakuwaje demand ipo ya kutosha lakini bado tunaagiza bidhaa nje. Mfano demand ya sukari ipo kubwa, ardhi kwa ajili ya mashamba ya miwa ipo unlimited na watu wenye...
6 Reactions
46 Replies
6K Views
Nimekuwa nikisikia maneno baadhi ya majirani wakinishuku nina roho mbaya napowanyima lifti watoto wao wa kike wa sekondari, nipo mtaa ambao watu wengi waliojenga wapo kwenye mid 40s na vipato vya...
17 Reactions
63 Replies
1K Views
Mwalimu Mkuu Msaidizi wa Shule ya Msingi Tulieni iliyopo Manispaa ya Mpanda, Mkoa wa Katavi amesema shule hiyo inakabiliwa na changamoto mbalimbali ikiwemo upungufu wa madawati ambapo mpaka sasa...
0 Reactions
2 Replies
234 Views
UJUMBE KUTOKA KWA MDAU: Nina mdogo wangu amepotea tangu Aprili 22, 2026, alipewa barua shuleni ya kumleta mzazi na baada ya kuondoka shule hakufika nyumbani wala hakurudi shuleni mpaka sasa...
0 Reactions
2 Replies
139 Views
Habari wanaJF . Niende moja kwa moja kwenye mada kuu . katika kile kinachoendelea hasa huko south , ukweli ni kwamba lazima mkubali nyie ni wakimbizi , kuujua ukweli ni kupona: kwa nn ulazimishe...
5 Reactions
76 Replies
753 Views
Binafsi majina ya kike wa Wasukuma hunisuuza sana moyo wangu. Ni jina gani la kike la Kisukuma ambalo wewe mwana JF unalipenda? Mimi ninayo kadhaa.... Limi Misoji Mihayo Kabula Kudahwa Nsungi...
2 Reactions
298 Replies
82K Views
Jaji Chande kuzungumza na wanahabari leo April 28, 2026, atakuwa mubashara kupitia vyombo vya habari saa nne na nusu asubuhi. Ikumbukwe wakati akiwasilisha ripoti ya uchunguzi wa Tume ya...
6 Reactions
26 Replies
657 Views
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Mwenendo wa Uhuru wa Vyombo vya Habari Tanzania unatisha Umoja wa Haki ya Kupata Taarifa (CoRI) unalaani mwenendo unaoendelea wa baadhi ya viongozi wa serikali...
2 Reactions
1 Replies
187 Views
Watanzania bwana maneno mengi lakini lugha ya kiingereza ni mtihani mkubwa sana kwenu ! Kwa taarifa yako Ukishasema ana ๐—ฑ๐—ผ๐—ฐ๐˜๐—ผ๐—ฟ๐—ฎ๐˜๐—ฒ basi maana yake tayari anayo elimu ya juu kabisa ya kiwango...
1 Reactions
1 Replies
150 Views
Usikate tamaa, usichanganyikiwe, usipoteze tumaini ni mapito yatapita na utakuwa imara zaidi. Mungu kamwe hawezi kufunga milango yote hata siku moja. Wanasema in the darkest moment there is always...
34 Reactions
100 Replies
17K Views
Wakuu, ushaona foleni hadi bodaboda inakwama sehemu inabidi isubiri gari zisogee? Sasa huku ni hizo gari chache ambazo zinatoka Mbezi juu, hali ya huko si ndio italuwa balaa? Na hii si asubuhi...
2 Reactions
13 Replies
314 Views
7 MISTAKES TO AVOID WHEN GOD STARTS BLESSING YOU ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡ When God begins to bless a person, the real test is not poverty anymoreโ€ฆ the real test becomes how you handle abundance. Many people...
2 Reactions
3 Replies
462 Views
Sign God annointed you to impact masses(nation/world) In every family or generation God selected one individual or choosen for cut off generation pattern or curse(trauma). Many family or...
1 Reactions
1 Replies
215 Views
Ilianza Stendi ya Dodoma na Sasa ni Soko la Ndugai limegeuka kuwa makazi ya popo baada ya wafanyabiashara kulitelekeza Kwa sababu hakuna biashara eneo lilopojengwa. Nawakumbisha tuu huu...
2 Reactions
29 Replies
2K Views
DEmocrat ya sasa sio ile ya wakina clinton na kurudi nyuma. Ni chama kilichogeuka kuwa na sera ambazo zinazopinga utamaduni wa kimagharibi. Ni chama kilichogeukia usasa wa ushetani na matakwa...
0 Reactions
0 Replies
109 Views
Hivi karibuni, "Ushuru Sifuri wa China" imekuwa mada muhimu kwenye vyombo vya habari nchini Kenya. Watu mbalimbali, kuanzia Makamu wa Rais hadi wafanyabiashara, wanaipokea sera hiyo...
1 Reactions
0 Replies
116 Views
Kabila la wasukuma humuita pambe nimependa kutumia pande kama kichwa cha uzi kinavojieleza Nyoka huyu hana nouma kabisa hua anaaibu sana mara nyingi wasukuma humtumia kwenye michezo yao ngoma za...
3 Reactions
12 Replies
390 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ