Wakati korido za madaraka zikijaa mijadala ya kisiasa na miradi mikubwa, kuna adui wa kimyakimya anayesambaratisha amani ya nchi yetu… Njaa mitaani. Katika kipindi kifupi bidhaa za msingi kama...
Mashirika ya Kimataifa na Asasi za Kiraia (AZAKI) takribani 20 nchini, zinazounda Kikundi cha AZAKI cha Kukomesha Adhabu za Viboko Tanzania, zimeihimiza Serikali kupitia watunga sera kurekebisha...
Ni zaidi ya miezi 10 sasa tangu tuajiriwe katik halmashauri ya manispaa ya geita. Kila tukiuliza wanasema hela hazijatolewa kutoka serikali kuu.
Muda mwengine tukiuliza wanatujibu kikejeli sana...
Hamjambo!
1. Saikolojia ya binadamu ni very complicated kama usipoelewa baadhi ya patterns
2. Mtu asipokuwa sawa ni rahisi kujua tabia zake za ndani. Mfano kiburi, dharau, n.k.
3. Kutokuwa...
1. Ni kijana mwenye takriban miaka 28
2. Hapo mwanzo alikuwa ameoa na watoto watatu, ana mashamba makubwa ya mpunga na mahindi, ng'ombe, pikipiki yake
3. Shamba lilikuwa na rutuba akilima...
Jeshi la Polisi Mkoani Arusha linamshikilia mtu mmoja aitwaye Salmin Rajab (29) fundi ujenzi, mkazi wa Sinoni Jijini Arusha kwa tuhuma za mauaji ya mtoto wake aitwaye Sahiri Salmin mwenye umri wa...
Kijana mwenye umri wa miaka 21 amezua mjadala mkubwa mtandaoni baada ya video yake kusambaa akieleza wazi kuwa hana mpango wa kutafuta kazi.
Akizungumza kwa msimamo mkali, kijana huyo alisema...
Wananchi wa Kibaha Muheza tunanyanyaswa na Dk.Zainab Gama (mbunge mstaafu viti maalum CCM) katika mgogoro wa ardhi uliodumu kwa zaidi ya miaka 10.
Mwaka 2000, Mzee Shole (mlemavu wa ukoma)...
Topic: Upgrading Driving License Classes (Kutoka B na D kwenda C1, C2, na C3)
Habari wakuu,
Ningependa kujua kwa undani process za kuongeza madaraja ya leseni ya udereva. Kwa sasa nina madaraja...
Leo ni siku muhimu katika ushirikiano kati ya Sweden na Tanzania. Utiaji saini wa makubaliano ya ufadhili kwa Lots 3 na 4 za Standard Gauge Railway mjini Dodoma unaonesha dhamira yetu ya pamoja ya...
Mkaguzi Kata Iragua, Mkaguzi wa Polisi (INSP) Ramadhan Abdalla, akitoa msaada na maelekezo kwa watumiaji wa barabara katika eneo la Nyanya, Wilaya ya Ulanga, Mkoa wa Morogoro, kufuatia changamoto...
Zamani watu wakweli waliaminika, kuheshimika na hata kulindwa (watu waliogopa kusema na kushuhudia uongo) ila leo imekuwa kinyume chake, watu waongo ndio hupewa nafasi, heshima, ulinzi (ukiwa...
Tunajua simu zetu zinakuja na apps ambazo haziwezi kufutika sio 😂, Sasa 2026 bhana hakuna kinachoshindikana aiseeh.
Leo nakupa app inayofuta kila kitu kwenye simu yako haijalishi hiyo app imekuja...
Hii ni story yangu na nitatoa na mifano ya vitu nilivyowahi kufanya. Watu wengi hawakujua, lakini kuna matukio kadhaa yaliyotokea nikiwa mtoto ambayo hayakuwa ya kawaida kabisa. Haikuwa mara moja...
Kauli ya Madam Rita kwa Media ya Mike 360
-------
Jumuia ya Wanahabari wa Mitandao ya Kijamii (JUMIKITA) kupitia Mwenyekiti wake, Ndugu Shaaban Matwebe, imesikitishwa na kulaani vikali kitendo...
Mwimbaji wa Tanzania Matonya ameachiwa huru kutoka gereza la Shimo La Tewa lililopo Mombasa, ambako alikuwa akishikiliwa kwa takriban siku 20 kufuatia tuhuma za ubakaji.
Msanii huyo, ambaye...
Hivi utajisikiaje pale ambapo simu yako inakupa msaada bila kuiomba ikusaidie wakati unatafuta cha kufanya.
Google imeleta feature mpya kwa watumiaji wa simu za Android inaitwa Proactive...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.