Humo kuna vya moto babaaa, jichanganye uone kilichotokea 29 October
Hivi likitokea la kutokea kama huko mali, hao jamaa na mabegi wayatupa chini au itakuwaje
jua, ujasiri wa kutazama bila kuona aibuHivi..walinzi wa viongozi kuvaa miwani mikubwa ni fasion au kuna some sort of communication behind?
ngoja waje wakujibu..hapo hapo namimi niongezee..Hivi chakula kina uhusiano gani na upelelezi au intellegencia?Hivi..walinzi wa viongozi kuvaa miwani mikubwa ni fasion au kuna some sort of communication behind?