Upgrading driving licenses classes (kutoka B na D kwenda c1,c2 na c3

Upgrading driving licenses classes (kutoka B na D kwenda c1,c2 na c3

Jackpiano

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2025
Posts
559
Reaction score
756
Topic: Upgrading Driving License Classes (Kutoka B na D kwenda C1, C2, na C3)
Habari wakuu,

Ningependa kujua kwa undani process za kuongeza madaraja ya leseni ya udereva. Kwa sasa nina madaraja ya B na D, lakini nataka kuongeza C1, C2, na C3 ili niweze kuendesha magari yenye madaraja ayo niliyo

orodhesha :

Naomba kufahamishwa mambo yafuatayo apo chini *
- vigezo vipi vinahitajika .
-inachukua mda gani kukamilisha process ?
-je gharama zake zikoje pamoja na mda wa mafunzo .
- Na vyuo vipi vya veta ni vizuri kwa kozi iyo;
Nawasilisha naomba kujuzwa kwa walio wahi kufanya upgrade kama izo ili nifate hatua sahihi bila ya kupoteza muda.
 
Kigezo cha kwanza leseni yako iwe imefikisha miaka mitatu kuendelea
Kigezo cha pili, unatakiwa uende NIT, VETA au chuo chochote cha udereva kinachotambuliwa na serikali ukasome hayo madaraja course inaitwa PSV muda ni wiki mbili tu ukifaulu unatukiwa cheti ambacho kitakupa sifa ya kupewa hayo madaraja
Tatu, gharama inategemea na chuo, Veta ni Tsh 250k hii inajumuisha ada na test fee, NIT gharama nadhan ni 220k
 
maelezo ya menyooka kabisa aya
 
Back
Top Bottom