Holoholo
JF-Expert Member
- May 10, 2023
- 8,708
- 19,586
1. Ni kijana mwenye takriban miaka 28
2. Hapo mwanzo alikuwa ameoa na watoto watatu, ana mashamba makubwa ya mpunga na mahindi, ng'ombe, pikipiki yake
3. Shamba lilikuwa na rutuba akilima mahindi anapata magunia 40 kila mwaka 4. Alianza ujenzi wa nyumba yenye 4rooms alifikia hatua ya lenta
. 5. Mwaka juzi akaingia mahusiano na mke wa mtu, akamuiba huyo mke wa mtu akaenda kijiji cha mbali kidogo, nyumbani mke wake akadai taraka na wakagawana kila kitu, nyumba, mashamba, ng'ombe na kila kitu.
6. Kwa sasa ana pikipiki ya mkataba anaendesha bodaboda, amepanga huku akimuhudumie mkewe aliyekuwa mke wa mtu, kwani mpaka sasa ni mgonjwa.
7. Je, kama kijana mwenzako, unamsaidiaje?