🌍 Mitihani Migumu Zaidi Duniani
1. Gaokao huko china
👉 Kwa nini ni mgumu sana
Mamilioni ya wanafunzi hushiriki ili kujipatia nafasi ya kujiunga na vyuo bora
Mtihani mmoja unaweza kuamua...
JICHO LA UDASA.
SAUTI YA TAALUMA AU KENGELE YA ONYO KWA TAIFA?.
Na wakati mwingine, taasisi zinapoongea kwa sauti ya utulivu wa kitaaluma, kile kinachosema huwa kikubwa kuliko kelele za siasa...
Nipo Mwanza nimekuja kutembea kutoka Jiji lenye miti mingi, nimefika Wilaya ya Ilemela, Kata ya Nyamanoro, jana tarehe 28.04.2026 nilikuta vijana wanne walionekana kwenye eneo la ujenzi wakiwa...
Wakazi wa Mtaa wa Golani, Kata ya Kimara, Wilaya ya Ubungo wafurahishwa na kasi ya utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa kituo cha kusukuma maji (booster pump) katika eneo hilo uliofika asilimia 80 za...
TUHUMA ZA IRAN KWA ISRAELI KUTUMIA UCHAWI KUUA VIONGOZI WAKE ZILIANZA 13 JULY 2025 KATIKA VITA VYA SIKU 12.
Mwaka 2025 katika vita vya siku 12 na mwanzoni mwa mwaka huu wa 2026, kumekuwa na...
Licha ya kuwapo kwa sheria, sera na miongozo mbalimbali zinazolenga kuhakikisha watoto wanatimiziwa mahitaji yao ya msingi, utekelezaji wake umekuwa hafifu na hivyo kuchangia kuwapo na idadi kubwa...
LICHA ya kuwapo kwa maofisa wa Serikali wenye dhamana ya kulinda ustawi wa watoto kikatiba, kisheria na kisera, idadi ya watoto wanaoishi katika mazingira magumu na hatarishi mkoani Shinyanga...
Serikali imeendelea kuchukua hatua madhubuti kuimarisha mazingira ya ujifunzaji kwa wanafunzi wenye mahitaji maalum nchini, kwa kuboresha miundombinu wezeshi katika shule za msingi na sekondari...
Wakazi wa Mtaa wa Golani, Kata ya Kimara, Wilaya ya Ubungo wafurahishwa na kasi ya utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa kituo cha kusukuma maji (booster pump) katika eneo hilo uliofika asilimia 80 za...
UBINAFSI
ULAFI
UKANDA
TAMAA
UNYAMA
UMALAYA WA KISIASA.
Hivi ni vitu ambavyo vipo kwa kila mwanadamu ila kwa mtu mweusi ndio pumzi yake.
Tulipata watu wachache ambao waliviweka hivi kando ila...
Imeshangasha Pesa imeweza kuhamishwa kutola kwenye namba yangu ya YAS bila mimi kujua au kuona meseji.
Imenishangaza kwasababu nimeigundua baada ya kuangalia statement kwenye Yas app na kuona...
Actually kama upo online na una peruzi muda huu, basi kuna uwezekano mkubwa kuwa wewe ni mraibu wa mitandao.
Muda kama huu kwa watu wengi inapaswa uwe umelala, au uwe mbali na simu, labda tu kwa...
Halafu Wanamuziki wa Dansi Tanzania waache haraka hii tabia ya ukihudhuria Matamasha yao wanakuja Kugongea Bia na Wine kwa Mashabiki.
Safi sana Steve Nyerere kwa Kuwachana.
Hivi siku hizi huko Gaza wanaouwawa hovyo kwa Kupigwa risasi hadi Maiti zao kulundikwa Mochwari ni Waafrika? Siku hizi Wapalestina wamegeuka na kuwa Waafrika waishio Kinondoni Mkwajuni...
Aliyekuwa Gavana wa nne wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Dk Idris Rashid, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 78.
Dk Rashid aliyezaliwa mwaka 1948, wilayani Mbulu katika Mkoa wa Manyara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.