SUALA LA MIKOPO KWA VIJANA CHINI YA WIZARA YA MAENDELEO YA VIJANA BADO NI CHANGAMOTO
Ngome ya Vijana ACT Wazalendo tumeona inayoitwa orodha ya wanufaika wa maombi ya mkopo kupitia mfuko wa...
[emoji3544] TAHADHARI: USIINGIE KWENYE MTEGO HUU WA MKOPO WA MTANDAONI
Matapeli wamebuni njia mpya ya kuiba taarifa na pesa zako kwa kutumia jina la Tigo na Mixx by Yas. Usikubali kudanganyika na...
Kwa sababu watu kustaafu inasemekana ni miaka 60 basi kila mtu huwa anajisahau na kujiona kama atatoboa 60 hivi yaani mtu anajiwekea kabisa malengo ya miaka 60 ila ukweli ni kwamba kwa generation...
Kuna science ya kucheza na akili ya mwanadamu ili awe mfuasi wako na ataishia kufanya lolote kwa ajili yako na hata ukifa ataendelea kukutukuza kufanya yale ulimfundisha.
Human brain is a mystery.
Muongo mmoja wa ushirikiano na Serikali na kufanya uwekezaji wa TZS bilioni 2.5 katika miradi ya maji vijijini na SBL inaendelea kufanya uwekezaji huo.
KARATU, 30 APRILI 2026: Kampuni ya Bia ya...
Wadau,
Mbunge wa Buchosa Bw. Erick Shigongo ameibua hoja bungeni kwa kupendekeza kuanzishwa kwa mfumo wa “roll over” wa vifurushi vya intaneti, ambapo data isiyotumika ndani ya muda wa kifurushi...
Kabla ya kulala fanya mambo haya
Kabla ujalala pangilia mambo yako vizuri, iwe ni sehemu ya jiko, sebuleni, na mazingira yote weka katika usafi na mpangilio.
Pia kabla ya kulala omba kwa Mungu...
Ujenzi wa Dangote Refinery si tu hadithi ya uwekezaji mkubwa—ni somo la kimkakati kuhusu uthubutu, mtaji, na nguvu ya mahusiano ya kifedha (financial networks). Mradi huu wenye thamani ya takriban...
Wakati akizungumza katika maandimisho ya Uhuru wa Vyombo vya Habari dunia Waziri wa Habari Sanaa Utamaduni na Michezo, Paul Makonda amesema Ni ngumu sana kupata Uhuru wa Habari kama Wanahabari...
Kuna msemo unaosema "Kazi ni kipimo cha utu",lakini dah,kuna mikoa wenyeji wake ni wavivu .
Pwani-wilaya ya Chalinze
Dodoma na Unguja.
Hizi sehemu tatu mimi zilibaki kunishangaza kwa kiwango cha...
Siku moja baada ya Shirika la Reli Tanzania (TRC), kutangaza kuongeza safari za treni za SGR kati ya Dar es Salaam na Morogoro, kutoka mbili mpaka nne, baadhi ya abiria na wananchi wamezungumzia...
Waziri wa Habari Sanaa Utamaduni na Michezo, Paul Makonda wakati akizungumza leo Aprili 30, 2026 katika maadhimisho ya Siku ya uhuru wa Vyombo vya Habari duniani amesema Serikali inawajibu wa...
Zingatia hapa tairi mbovu yaani ilishatumika, ikachakaa ama ikaharibika hivyo haifai kutumika tena kwenye magari
Hii ni fursa ambayo itawafaa sana vijana wetu wa JF wanaosaka ajira
Tairi moja...
Je, wewe ni Mwandishi wa Habari na ungependa kushiriki katika Fellowship ya miezi tisa kuhusu uandishi wa habari za maslahi kwa umma (PIJ)? Jisajili sasa na ujaze fomu kupitia kiungo (link) hiki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.