Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

TRA Tanzania Kuna nini?Tovuti yenu pamoja na mfumo wa IDRSA haufikiki.Vp Shida ni nini?
1 Reactions
9 Replies
226 Views
Ujenzi wa Dangote Refinery si tu hadithi ya uwekezaji mkubwa—ni somo la kimkakati kuhusu uthubutu, mtaji, na nguvu ya mahusiano ya kifedha (financial networks). Mradi huu wenye thamani ya takriban...
0 Reactions
1 Replies
183 Views
Kwanini Huwa ni nadra Dar es Salaam na mikoa ya Pwani kuripotiwa matukio ya kikatili kama haya , Ni kwamba mikoa hii ina watu waliostaharibika ..? Au N.B hapa nazungumzia wazawa wa Pwani na sio...
5 Reactions
39 Replies
724 Views
Serikali ya China ilijitahidi kuwezesha viwanda vidogo vidogo, baadae wakaanza kupata viwanda vya kati na vikubwa Serikali za Africa hazina hata mpango Sasahivi China imefanikiwa, wameamua...
0 Reactions
3 Replies
164 Views
Siwezi kuacha hili lipite bila kuleta mrejesho vijana wangu I feel good @ holoholo-baba kijacho Rejea post hizi ili kujifunza nguvu ya hisabati kweye maisha ya kilasiku...
3 Reactions
1 Replies
163 Views
Mwenyekiti wa Shirika lisilo la kiserikali la Kagera Development Foundation (KADEFO), Balozi Liberata Mulamula amewakaribisha wanakagera wote waishio mikoa mbalimbali ikiwemo Dar es Salaam...
0 Reactions
0 Replies
115 Views
Serikali ya Falme za Kiarabu (UAE) imetangaza rasmi leo, Aprili 28, 2026, uamuzi wake wa kujiondoa katika Shirika la Nchi Zinazouza Mafuta Duniani (OPEC) pamoja na muungano wa OPEC+. Uamuzi huu...
5 Reactions
18 Replies
567 Views
Ni rasmi sasa feature mpya ya Whatsapp kuonyesha Status upande wa juu kabisa kwenye chati imeanza kutoka. Mwanzoni tuliposti kuwapa taarifa kuwa iko kwenye Development stages, lakini Sasa...
4 Reactions
7 Replies
253 Views
Siri ya kufanikiwa kiuchumi ni kuenenda katika HAKI! Kwenye Biblia hakuna tajiri yeyote aliyemuambia Mungu "naomba unipe utajiri" na akapata, never na sijaona andiko hilo kwa mwenye nalo alilete...
18 Reactions
113 Replies
6K Views
Tukiandikiwa dawa mfano na Daktari, tunavoenda kununua pharmacy za nje ya hospital zile bei tunaziaminije? Maana hakunaga bei elekezi ya madawa, au reference ya bei, just kumpa kikaratasi cha...
7 Reactions
29 Replies
489 Views
Nasogelea miaka 65 sasa,ukiachia elimu ya darasani nimejifunza ufundi wa vitu vifuatavyo: 1.Ni fundi friji au friza ambazo ni smart.Natengeneza bila shida yoyote 2.Fundi wa majiko ya gesi na ya...
9 Reactions
11 Replies
197 Views
Tume ya Jaji Mstaafu wa Mahakama Kuu, Jaji Chande akizungumza na wahariri na vyombo vya habari amenukuliwa akisema baada ya kutoa ripoti wamepokea matusi zaidi ya 300 Ni hali ya kushangaza sana...
-1 Reactions
19 Replies
321 Views
Naisubiri hii redio hapa Mwanza kwa hamu. Azam fanyeni hima muilete
1 Reactions
10 Replies
190 Views
Anonymous (b5ce)
Mimi ni Mwananchi wa Manispaa ya Lindi, Mtaa wa Jangwani, kero yangu ni kuwa Barabara inayounganisha Mtaa wa Jangwani na Manispaa (mahala tunapopata huduma zetu za kila siku) imeharibika haifai...
1 Reactions
0 Replies
147 Views
Anonymous (270d)
Habari, Mimi ni mkazi wa Morogoro mjini. Changamoto niliyokutana nayo TTCL Morogoro ni kuwa nilituma maombi kwa ajili ya kuja kufungiwa fiber internet kwenye eneo langu la kazi lakini maombi...
1 Reactions
5 Replies
274 Views
Kuna namna afya ya akili imekuwa corrupted. Na ukiona afya akili imekuwa corrupted kwa mkupuo mara nyinngi ni kutokana na quality mbovu ya maisha na matarajio yasio na tija. Vijana wamechoka...
2 Reactions
4 Replies
146 Views
Walevi wakifika kitandani haichukui round usingizi unamshika hata hakumbuki nini cha mwisho alifikiria Ila ukiwa mkavu hujapiga vitu ukapanda kitandani kabla hujalala lazima kuna stori fulani...
8 Reactions
19 Replies
216 Views
Habari za wakati huu ndugu zanguni. Kama ilivyo ada na kawaida kuhabarishana habari mbali mbali zenye manufaa kwa ajili ya kuepushana na mambo yanayoonekana kutuathiri kwenye jamii na familia hii...
65 Reactions
178 Replies
10K Views
Kama miezi sita hivi imepita tangu niache tungi. Washkaji zangu dizaini fulani hivi kama wananikataa, ukaribu na mimi umepungua, michongo ya fedha hawanipi tena kama zamani. Nafanyaje hapa...
10 Reactions
33 Replies
483 Views
Wakati korido za madaraka zikijaa mijadala ya kisiasa na miradi mikubwa, kuna adui wa kimyakimya anayesambaratisha amani ya nchi yetu… Njaa mitaani. Katika kipindi kifupi bidhaa za msingi kama...
14 Reactions
32 Replies
1K Views
Back
Top Bottom