Nipo Dar, wananipigia simu nije mjini wamenikimbia

Mr worldwide

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2017
Posts
348
Reaction score
740
Habari wakuu

Mwishoni mwa mwaka nimeamua kuitumia likizo yangu fupi kufika jijini Dar es salaam, basi kipindi nipo mkoani nilikuwa nawasiliana na rafiki zangu (wanaume wa dar) wa kitambo kama watatu hivi na tulikwisha panga mambo mengi hivyo wakawa wananikaribisha Dar kwa mbwembwe nyingi sana huku basi nilivyopata likizo hii nimeona inaishia basi wiki hii ya mwisho nikaamua kuja kuimalizia hapa jijini

Hawa washikaji zangu si wa mikoani tena, washakuwa wanaume wa Dar!
Mbwembwe zote za kunilazimisha nije jijini tukutane tufurahie maisha na kukumbushana habari zetu za enzi hizo wao wamenikwepa sasa

Tangu ijumaa nimefika hapa jijini na kuchukua lodge mana siwezi kufikia kwa mtu ata kama anamiliki jumba zaidi ya ikulu, ajabu hawa watu wamezima simu hawapatikani wote kama wameaidiana, likizo imekuwa chungu jijini sina kampani na kesho mwaka mpya naondoka

Ninyi wanaume wa Dar mnakwepa nini tuonane maana mkija mkoani mnakuwa na sifa sana huku mkijigamba zaidi kwamba mmefanikiwa sana kumbe ni porojo tu
 
Ntakuona mwanaume wa kweli kama umewatumia hata meseji ya haya uliyoyaandika hapa
 
Id ipi hiyo? Isome hii Mr worldwide
38673d31bce594c2f1479a968d6abe54.jpg
 
Siku ukiongea nao utasikia nilitingwa sana kumbe alienda kununua series ya kikorea na akashinda ndani anaangalia!
 
unakuja dar bila mipango utapakatwa wa mkoani, tafuta demu kula mzigo wa dar ukirudi huko ukawasimulie umetafuna demu wa dar, zunguka mlimani city, quality centre, dar free mrkt and the like upate cha kusimulia ukirudi ibisabageni
 
Habari wakuu

Mwishoni mwa mwaka nimeamua kuitumia likizo yangu fupi kufika jijini Dar es salaam, basi kipindi nipo mkoani nilikuwa nawasiliana na rafiki zangu (wanaume wa dar) wa kitambo kama watatu hivi na tulikwisha panga mambo mengi hivyo wakawa wananikaribisha Dar kwa mbwembwe nyingi sana huku basi nilivyopata likizo hii nimeona inaishia basi wiki hii ya mwisho nikaamua kuja kuimalizia hapa jijini

Hawa washikaji zangu si wa mikoani tena, washakuwa wanaume wa Dar!
Mbwembwe zote za kunilazimisha nije jijini tukutane tufurahie maisha na kukumbushana habari zetu za enzi hizo wao wamenikwepa sasa

Tangu ijumaa nimefika hapa jijini na kuchukua lodge mana siwezi kufikia kwa mtu ata kama anamiliki jumba zaidi ya ikulu, ajabu hawa watu wamezima simu hawapatikani wote kama wameaidiana, likizo imekuwa chungu jijini sina kampani na kesho mwaka mpya naondoka

Ninyi wanaume wa Dar mnakwepa nini tuonane maana mkija mkoani mnakuwa na sifa sana huku mkijigamba zaidi kwamba mmefanikiwa sana kumbe ni porojo tu
Umefanikiwa kuona bahari?
 
Back
Top Bottom