Bila JamiiForums ninge pata stress!

Bila JamiiForums ninge pata stress!

JERUSALEMU

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2012
Posts
3,156
Reaction score
3,628
Habari wanajamvi!

Wakati mwaka unakaribia kukatika na kuukaribisha mwaka 2018, Kipekee kabisa nataka kuwashukuru wakurugenzi wa Jamiiforums na wanajamvi wote. Hakika mmeniondolea uwezekano wa kupata stress. Kuna wakati nilikuwa peke yangu lakini hakuna wakati nilipo kuwa mpweke!

Kuna wakati nilicheka balaa! Baadhi ya michango ya wanajamvi iliniburudisha kweli. Jamiiforums ni hazina ya watu wanao fikiri kikweli. Wajinga na wasio jitambua wapo lakini na wao walinifanya nijue ubaya wa ujinga.

Nilikuwa nikitaka kucheka naingia Jamiiforums! Nikitaka kupata faraja naingia Jamiiforums. Kiukweli ni Jamvi la kipekee.

Ahsanteni nyote! Nawatakia mwaka mpya mwema uwe umetubu au hujatubu. All the best great thinkers.
 
naunga mkono maana nimepata mke kupiti jf.aise sikuamini wa kutarajia kumpata wangu huyu wa maisha.
thank you maxence mello
 
Back
Top Bottom