Hali ya benki Tanzania

Hali ya benki Tanzania

Omusolopogasi

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2017
Posts
7,101
Reaction score
18,084
Wanajamii,

Kuna habari zinazunguka kuhusu hali mbaya ya mabenki yetu hapa Tanzania. Wengine wanasema benki hii iko katika hali mbaya na wengine wanasema benki ile iko katika hali tete. Mimi kama mteja nimechanganyikiwa. Ni vigumu sana kupata uhakika wa wapi niweke vijisenti vyangu. Naamini kuwa humu ndani kuwa wafanyakazi wa benki mbalimbali na wataalamu wa uchumi, mambo ya fedha na benki. Je, ni benki gani mnapendekeza niweke vijisenti vyangu na benki gani za kuepuka?

Asanteni
 
Usiogope,weka bank yoyote..hata ikifilisika wateja mtalipwa tu..usiskie maneno ya mtaani
 
Usiogope,weka bank yoyote..hata ikifilisika wateja mtalipwa tu..usiskie maneno ya mtaani
Benki iliyofilisika mara ya mwisho Tanzania, wateja wake walilipwa shilingi 2 million kama kiwango cha juu kabisa. Kwa hiyo ufariji wako unaweza kuwa na maana tu kama mtu atakuwa ameweka 2 million katika benki.
 
It's true kuna kiasi tu ambacho bank kuu yaweza walipa wateja....nadhan hapa tatizo kuna no uchumi kwa ujumla na sio bank fulan so tupambane tu na halo zetu...
 
Kama visenti vyako ni vingi, viweke kwenye too big to fail banks. That is CRDB au NMB...
 
Back
Top Bottom