KWANINI SIKU HUISHA USIKU?

KWANINI SIKU HUISHA USIKU?

dafity

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2008
Posts
1,881
Reaction score
2,091
Tangu awali kimaandiko haikuwa hivyo. Ukisoma

"Mungu akaiita nuru Mchana, na giza akaliita Usiku. Ikawa jioni ikawa asubuhi, siku moja.

Mwanzo 1:5"

Maandiko yanasema "Ikawa JIONI ikawa ASUBUHI" maana yake siku huwa ina vipindi hivyo viwili tu sio vitatu kama sasa yaani Usiku Giza (kuanzia saa 6:00), Asubuhi-Mchana/Nuru ( (kuanzia saa 12:00), Giza ( (kuanzia saa 1 mpaka 5;59 usiku).

Nani aliamua siku ibadilike usiku na sio kukicha kama Mungu alivyoweka tangu awali? Je walitaka usiku ili wapige kwa raha fataki zao au kuna sababu Zingine? Ma kwanini ibadilike saa 6? Kwani ingekua saa 2 au 4 mbona saa zingekua 24 zile zile?

Wakati tunasubiri kuupokea huo mwaka mpya 2018 hebu tujadili hii mada.
 
Maamuzi tu, hata wewe unaweza ukalikomalia hilo kwamba siku inaanza saa mbili na ukapata wafuasi uka-'konkomela'
 
Hiyo nayo ni news alert? Anyway, jibu ni kwamba "siku huisha usiku kwasababu haiishi asubuhi"
 
haya mambo ukiyajadili kiimani utakesha hadi ukome, sayansi imeweka wazi kila kitu.
 
Back
Top Bottom