UMEJIPANGAJE HII 2018 NDO HIYO IMEINGIA

UMEJIPANGAJE HII 2018 NDO HIYO IMEINGIA

101 East

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2015
Posts
1,057
Reaction score
2,258
Masaa machache tu yajayo yamebaki namba zibadilike tuuage mwaka 2017 na kuanza mwaka 2018 kwa kishindo na malengo mapya na kuyakamilisha au kama kuna ya 2017 yaliyostack basi ni kuyabadilishia mbinu ili yakamilike
Binafsi kwa upande wangu nimepanga kuanza na kuumaliza ujenzi katika plot yangu namuomba mungu changamoto zisiwe nyingi au kubwa zikakwamisha haya malengo niliyojiwekea
Ningependa kujua kutoka kwenu wanajukwaa mna malengo yapi mwaka huu 2018
Kama kuna ambae tunafanana malengo tuta-share changamotona mafanikio

Karibuni
 
Back
Top Bottom