Akizungumza kwenye uzinduzi wa maboresho ya jeshi la polisi jijini Dar es salaam, mkurugenzi mtendaji wa benki ya CRDB Dk Charles Kimei amemwelezea Rais DKt John Pombe Magufuli kwamba sio binadamu...
Katikati ya mwaka huu unaoishia, kulitolewa agizo na kamanda mkuu wa usalama barabarani, kwamba ni marufuku magari,pikipiki kufungwa taa zenye mwanga mkali (sport lights) na hata wauzaji...
Tukio ambalo lilitokea juzi huko Congo inasemekana kuna vijana walitekwa.
UFAFANUZI: Jumla walikua wanne (sina uhakika) mmoja alitaka kuwatoroka wakati wanaondoka nae ghafla walimpiga risasi na...
Leo nataka niwakumbushe tuu ndugu zangu mnaoishi tanzania kama mimi,ili nchi yetuu iweze kuendelea inapasa tuipende na kuilinda hili ni jukumu letu sote kuanzia watu wa kasikazin mpka kusin mwa...
Aleikhum......
Wadau kwa utafiti mdogo nilioufanya nimegundua vijana wengi wa bodaboda hawachukui tahadhari ya kujikinga vya kutosha na upepo,wengi huwa wanazingatia kuvaa kofia ngumu tu ila...
NDOTO YANGU....
Ilikuwa ni saa 20:17 nilipanda kitandani mpaka kufikia dakika ya 12 toka nilipo panda kitandani ...nilikuwa tayari nimekwisha shikwa usingizi...ghafla ndoto ya ajabu ilikuja ndoto...
Salam kwenu wadau,
Mwaka ujao nahitimu masomo yangu ya secular hivyo nishajiaandaa kuelekea Yemen (Dammaj) kuongeza maarifa yangu katika ilimu ya kitabu na sunna ala fahmi salafu-swalih. Hivyo...
Mwaandishi mmoja wa habari alimuuliza dai mmoja wakijerumani Salah El dyn mahusiano yaliopo kati ya Uislamu na Ugaidi,
akamjibu:
Nani alieanza vita vikuu vya dunia vya mwanzo ? Waislamu ...
Mwenye mapenzi mema na nchi yetu tufanye hivyo. Kwa nia njema na si vinginevyo. Tunaheshimu na Tunatii mamlaka zilizopo kwa haki.
Wote, CCM, CDM, TLP, CUF etc mnakaribishwa.
Kwa jinsi anavoongea hassan ngoma kuhusu watumishi wa umma kurejesha fomu tume ya maadili kama mh Raisi alivyofanya unaona kabisa huyu mtu kama si yy basi ni mpango maalum walikokubaliana na...
wakuu.
kuna kitu hakipo sawa hasa kwa polisi yetu.
kamata kamata ya viongozi wa dini iangalieni vyema kwani kesho mkija kuwaomba waombee amani wakikataa msilaumu.
Mlianza na Gwajima na kesi zote...
ITV imemtunuku Paul Makonda kipindi maalum kuanzia saa tatu za usiku! Kweli?
Wenye hekima na busara wanafahamu kuwa, ukizishabikia siasa za Tanzania bila kuchanganya naza kwako unaweza kujikuta...
Ni swali rahisi sana, ila ndani yake limejaa maana pana sana ambayo ukiitafakari juu ya ulimwengu wa TEKNOHAMA, utapata majibu lukuki, hasa kwa kuzingatia mazingira uliyopo kwa sasa. Mimi ninayo...
Wasalaam Jf
Tukiwa tumebakiza siku chache kusema bye to 2017, nitoe shukrani zangu kwa wadau wote kwa mambo mengi niliyojifunza kupitia JF platforms.
Mmeongeza ujuzi kwa wengi, mmewasaidia...
Jamani eti Bundi kulia usiku mlio fulani hivi nini kinaashilia? Maana nimeambiwa eti ni mikosi, lakini kambi hapa ninapokaa kuna miti miti mingi sana na Bundi wapo wengi sana
Lakini usiku...
Kuna taarifa zimeenea kuanzia jana kwamba, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John P. Magufuli ametunukiwa tuzo ya amani na taasisi ya Nelson Mandela. Mbali na Rais Magufli wengine...
WAANDISHI wa habari wametakiwa kusimamia haki na ueledi na wasikubali kutumiwa na wafanyabiashara matapeli wanaokesha usiku na mchana kubuni mbinu za kuwalaghai wananchi.
Balenga alitoa kauli...
Viongozi wengi sana wa kisiasa hupenda kupongezwa tuu na wala Sio kukosolewa hasa wale viongozi dhaifu wasio jiamini. Na kama wakiwa na wasaidizi wasio na maono na utashi wa kumshauri basi...
Wakati zoezi la ubomoaji wa jengo la Ofisi za TANESCO makao makuu Ubungo kwa wakati ule wa kuhamisha mifumo ya Luku, kulikuwa na taarifa kwa wananchi kwamba huduma ya kununua umeme wa Luku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.