Nauli ya ndege kutoka Dar- Yemen

ustadhijuma

JF-Expert Member
Jul 20, 2015
3,021
1,977
Salam kwenu wadau,

Mwaka ujao nahitimu masomo yangu ya secular hivyo nishajiaandaa kuelekea Yemen (Dammaj) kuongeza maarifa yangu katika ilimu ya kitabu na sunna ala fahmi salafu-swalih. Hivyo naomba mnitajie gharama za usafiri ikiwezekana na taarifa kuhusu huko
 
mkuu ndege ina shida moja,iko hivi kiti kilekile,ndege ileile,rubani yuleyule na wahudumu walewale lkn nauli huwa inakuwa tofauti tofauti kulingana na majira ,labda sema unaondoka mwezi gani tujaribu kuangalia
 
Mkuu MSAGA SUMU je unaweza hata ukanieleza kuwa pindi nauli ikipanda sana huwa inafika kiasi gani? na pindi inaposhuka huwa inafika kiasi gani?
Ahsanta
 
Nikisikia Yemen mawazo yangu yanajaa picha za hao wazee wa kufunika nyuso zao na Bendera nyeusi ISIS!
 
kwani ISIS (Israel secret intelligence services) ipo Yemen au Syria? hebu fafanua Mkuu....Huenda wewe Ndebile ukawa na knowledge zaidi kuhusu ISIS
 
inaonyesha wewe nzega ndogo ni wakiume lkn una vijitabia vya umbea umbea na uongo uongo chunga sana ungeishi msumbiji may be sasa tungesema kuna dume litanzania limechaniwa suruali kwa nyuma....shenzy
 
Nikisikia Yemen mawazo yangu yanajaa picha za hao wazee wa kufunika nyuso zao na Bendera nyeusi ISIS!
Na ukisikia Ulaya hayo mawazo yako hua hayajai kuwaza jinsi wanaume kwa wanaume wanavyooana? tena kwa uhalali wa serikali zao?
 
Salam kwenu wadau,

Mwaka ujao nahitimu masomo yangu ya secular hivyo nishajiaandaa kuelekea Yemen (Dammaj) kuongeza maarifa yangu katika ilimu ya kitabu na sunna ala fahmi salafu-swalih. Hivyo naomba mnitajie gharama za usafiri ikiwezekana na taarifa kuhusu huko
kumbe wewe ni salafy!?
 
Ngoja waje vijana wa Al Shabab, wao ndio wanajuwa ukweli zaidi kwani wanakwenda huko kila kukicha kuchukua mafunzo ya ugaidi.
 
Back
Top Bottom