Wana bodi,
Kwanza nitoe pongezi kwa Serikali kwa ujenzi wa lile daraja la Nyerere, yaani limekuwa msaada mkubwa kama kiunganishi kwa wakazi wa kigamboni lakini pia ni kivutio kikubwa kutokana na...
Awali ya yote heri ya sikukuu za mwisho wa mwaka.
Ninapata ukakasi mkubwa sana kwenye utendaji wa jeshi letu pendwa la police.Sijajua kwa nini hawataki kuenda na pamoja na falsafa za mhe. raisi...
Ni maajabu sana!
Ujue kuna nyakati tafakarishi anazopitia binadamu zinashangaza sana! kuna watu wakifulia utawahurumia wanavyotia huruma, kuna kipindi kile ambapo mwanaume anapigika na kuishiwa...
Habarini za mchana wana jukwaa.Leo waziri wa fedha na mipango ametoa takwimu kuwa tuna $5911.2 katika hifadhi yetu ya fedha za kigeni je ndugu waziri anamdanganya nani na kwa faida ya nani?na pia...
Some men and women are bleaching their skin using dangerous chemicals.
Black is beautiful, People should be happy with their God given skin. I know of a woman who has to visit a clinic regularly...
Habari zenu wa ndugu,
Kiukweli Sina mengi ya kusema, Mimi ni ME, ningependa kujua zaidi kuhusu Oman Mascat,
Maana nimesikia Uchumi wao sio mbaya Sana, so ningependa nijirushe huko
Naomba...
JESHI la Polisi mkoani Shinyanga, limetoa tathmini ya matukio ya uhalifu 13,745 kuanzia Januari hadi Desemba 2017 na kutaja yanayoongoza ni ya wivu wa mapenzi, mauaji na unyang’anyi wa mali kwa...
Miaka Ya Nyuma,1980s na Mwanzo 1990s,
Tulikuwa Madaftari Yakiisha Tuu unatafuta Picha ya mwwnamuchezo Unaikata na Kuiweka/bandika kwenye Daftari na Gundi maji matunda Gundi,
Daftari zima linajaa...
Mwanza. Tofauti na ilivyoanza kuzoweleka hivi sasa kukamatwa wasafirishaji wa bangi wanaotoka Tarime mkoani Mara kwenda Mwanza, safari hii mwanamke anashikiliwa na polisi mkoani hapa kwa tuhuma za...
Akizungumza kwenye uzinduzi wa maboresho ya jeshi la polisi jijini Dar es salaam, mkurugenzi mtendaji wa benki ya CRDB Dk Charles Kimei amemwelezea Rais DKt John Pombe Magufuli kwamba sio binadamu...
Katikati ya mwaka huu unaoishia, kulitolewa agizo na kamanda mkuu wa usalama barabarani, kwamba ni marufuku magari,pikipiki kufungwa taa zenye mwanga mkali (sport lights) na hata wauzaji...
Tukio ambalo lilitokea juzi huko Congo inasemekana kuna vijana walitekwa.
UFAFANUZI: Jumla walikua wanne (sina uhakika) mmoja alitaka kuwatoroka wakati wanaondoka nae ghafla walimpiga risasi na...
Leo nataka niwakumbushe tuu ndugu zangu mnaoishi tanzania kama mimi,ili nchi yetuu iweze kuendelea inapasa tuipende na kuilinda hili ni jukumu letu sote kuanzia watu wa kasikazin mpka kusin mwa...
Aleikhum......
Wadau kwa utafiti mdogo nilioufanya nimegundua vijana wengi wa bodaboda hawachukui tahadhari ya kujikinga vya kutosha na upepo,wengi huwa wanazingatia kuvaa kofia ngumu tu ila...
NDOTO YANGU....
Ilikuwa ni saa 20:17 nilipanda kitandani mpaka kufikia dakika ya 12 toka nilipo panda kitandani ...nilikuwa tayari nimekwisha shikwa usingizi...ghafla ndoto ya ajabu ilikuja ndoto...
Salam kwenu wadau,
Mwaka ujao nahitimu masomo yangu ya secular hivyo nishajiaandaa kuelekea Yemen (Dammaj) kuongeza maarifa yangu katika ilimu ya kitabu na sunna ala fahmi salafu-swalih. Hivyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.