Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Leo hio mida ya SAA 11.00 jioni,Tinga Tinga la Tanroad.Limeubomoa Msikiti wa Kibamba Makondeko, hii ni Nyumba ya dini IPO hapa zaidi ya miaka 60 iliyopita. Serikali hii kwa jeuri imevunja bila ya...
21 Reactions
105 Replies
10K Views
#Vituko Jamaa pichani raia wa Vietnam aliyetupa kisogo siku ya xmas juzi akiwa uwanja wa sita kwa sita alivunjika maeneo yake baada ya kujaribu styles za kufa mtu hivyo kiungo chake cha uzazi...
0 Reactions
2 Replies
826 Views
OFISA Ardhi wa Manispaa ya Mpanda mkoani Katavi, Hisia Muyiga(49) ameuawa kikatili Kwa kunyongwa Na watu wasiojulikana Na mwili wake kutelekezwa Shambani Kamanda wa Polisi Mkoa wa Rukwa, George...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kweli sisi Waafrika ni Wajinga Kweli Kweli, nasisitiza sisi ni Wajinga, Au Unabisha ? Hivi Juzi nimeona Video Moja jinsi Watu wa Libya wanavyowatesa Waafrika wenzao mateso ya Kinyama Yaani...
1 Reactions
53 Replies
3K Views
Ninaona mwanga mkali huku maeneo mengine yakiwa ya mejaa kiza.Kwa kuwa sijui nilipo tumaini langu pekee ni kufuata mwanga ule niuonao.Natembea taratibu huku nikiwa na wasiwasi mkuu.Najiwa na kumbu...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Awali ya yote naomba ninukuu mifano kadhaa Viongozi wa Serikali walivyoonywa kwenye bibilia. Nabii au mtoa maonyo siku zote alikuwa akitumwa wakati wa dhahama (crisis). ila hawa jamaa walipeleka...
6 Reactions
33 Replies
3K Views
Ni baada ya kasi yenye kasi zaidi ya usain bolt ya awamu ya tano inayotetea wanyonge kuwaumbua majizi hayo ya songea Jana taarifa ya habari ya ITV iliyaonyesha majizi hayo yanayojiita wakulima wa...
1 Reactions
9 Replies
891 Views
Kwa hizi sikukuu malalamiko ya kuwa pesa hamna me nabisha nilikuwa pale moshi foleni ilivyokamata moshi mjini sheli zimejaa foleni. Barabarani foleni tupu wakati narudi magari yamejaa...
0 Reactions
6 Replies
776 Views
Makampuni yanayotoa huduma za simu kama tigo, voda, airtel na halotel sasa yametuzoea vibaya, yanafanya kila wakitakacho na hawajali wanawaumiza wateja wao kwa kiasi gani, hali hii inapelekea...
10 Reactions
28 Replies
3K Views
Wakuu hapa tayari nimeshavurugwa. Tayari nimeshapokea simu nne kutoka kwa kaka mkubwa, dada yangu, rafiki yangu (mtumishi wa Mungu) na Baba mkwe - kuwa kuna watoto wamefauru vixuri darasa la saba...
5 Reactions
12 Replies
1K Views
Ikiwa zibaki siku na masaa machache tuweze kukamilisha mzunguko mzima Wa mwaka 2017 , kuna matukio kadhaa yaliweza kutokea Tanzania ndani ya mwaka 2017 na yalichukua nafasi sana kwenye vyombo vya...
1 Reactions
16 Replies
3K Views
We must have seen this somewhere before... Ezra and Thomas joined a company together a few months after their graduation from university. After a few years of work, their Manager promoted Ezra...
3 Reactions
4 Replies
732 Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza na bila kuweka fitna au unafiki wowote , ninaomba kuchukua nafasi hii kuwatakia heri ya sikukuu hizi maarufu sana duniani wapenzi , washabiki na wanachama...
39 Reactions
110 Replies
8K Views
Kwa mtu anayetumia barabara ya Nyerere huenda atakuwa ameliona au ameshawahi kukutana na dhahma hii hasa madereva. Unapotokea uwanja wa ndege wa Mwalimu Nyerere unapofika eneo la vingunguti...
3 Reactions
10 Replies
1K Views
Huu ni muujiza toshaa kabisaa Aisee hii nchi sina hata la kusema eti tunakimbilia uchumi wa Kati halafu usafi tuu maduka yote yafungwe, mji usimamishwe na shughuli ya usafi Duhhh Eti faini...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Naomba mnisaidie,yawezekana mimi nawaza mawazo yangu yananipeleka kusiko. Luis Shika ni mtu mwenye akili timamu,smart,anajua anachofanya na anafurahia anachofanya na jinsi alivyofanikiwa na upo...
12 Reactions
36 Replies
10K Views
Unless kama watalivuta mapema, otherwise panaweza pakawa na foleni kali kidogo
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Watu wengi wamekuwa wakitubeza sana vijana tunaokaa kwa mashemeji zetu kujishikiza kufuatilia michakato ikae sawa. Sasa kuna wale ambao tumekaa sasa zaidi ya mwaka na michongo bado imegoma. Huku...
7 Reactions
37 Replies
3K Views
Wakuu na Kwa wanaohusika, Mimi ni mfuatiliaji wa mambo mbali mbali katika maeneo yanayonizunguka wakati na mahali popote. Hivi karibuni nimesikia kilio cha wafanyakazi wa Usafi katika Majengo...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom