Wasalaam Jf
Tukiwa tumebakiza siku chache kusema bye to 2017, nitoe shukrani zangu kwa wadau wote kwa mambo mengi niliyojifunza kupitia JF platforms.
Mmeongeza ujuzi kwa wengi, mmewasaidia wengi kupata ufumbuzi wa maswali magumu yaliyowafikisha njia panda, na kupitia mawazo yenu wengi tu walirudisha mrejesho positive kuwa JF ,imekua msaada.
Na kwa wenzangu waliojaa stress, Jf imefanyika jamii pana ya kuwaburudisha na hata kuwapa marafiki kama si wapenzi kabisa.
Leo nataka niwakaribishe kudadavua mada hii mhimu sana kwa ustawi wa maisha ya kila mmoja, yumkini kitakachojadiliwa ktk topic hii kinaweza kuwa useful instrumental toward 2018.
Hoja yangu iko kwa njia ya swali , je kipaji chako kimekunufaisha?
Ni wazi kabisa ,hakuna namna unaweza toa jibu kwa swali hili ikiwa huna uhakika au haukitambui kipaji au vipaji ulivyotunukiwa na Muumba wako.
Ili kulisaidia kundi la watu wasiotambua vipaji vyao wadau karibuni tudadavue topic hii, zifuatazo zinaweza kuwa ndondoo zitakazotuwezesha kuwa na focused discussion.
1.kipaji ni nini
2.Nawezaje tambua kipaji changu?
3. Nini kinahitajika kifanyike ili kipaji kimnufaishe mhusika?
Note. Mdau atakeyetoa mchango wa nguvu ataondoka na zawadi nzuri ya mwaka mpya.
Karibu tulijenge Taifa kwa kushirikisha maarifa na uzoefu.
Regards.