Mwandishi: Nini maana ya Ugaidi?

Mwandishi: Nini maana ya Ugaidi?

toroka uje mjini

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2017
Posts
1,584
Reaction score
2,118
Mwaandishi mmoja wa habari alimuuliza dai mmoja wakijerumani Salah El dyn mahusiano yaliopo kati ya Uislamu na Ugaidi,

akamjibu:
Nani alieanza vita vikuu vya dunia vya mwanzo ? Waislamu ?!
Nani alianzisha vita vya pili vya dunia? Waislamu?!
Nani alieuwa watu milioni 20 raia wa Australia? Waislamu ?!

Nani alielipua kwa nyuklia ilie miji miwili ya Japan ? Waislamu ?!
Nani aliesimamia mauwaji ya wahindi wekundu zaidi ya milioni 100 kule Marekani ya Kaskazini ? Waislamu ?!
Na nani alieuwa zaidi ya wahindi wekundu milioni 50 Marekani Kusini ? Waislamu ?!

Nani alewatumikisha kiasi cha watumwa milioni 180 wakiafrika na kuuwa asilimia 88% ya waafrika hao na kuwatupa bahari kubwa ya Atlantic? Waislamu ?!

Hapana hawakuwa ni waislamu !!!

Kisha akamwambia: kabla ya yote unatakiwa uitafute maana ya Ugaidi vizuri, kwani asie muislamu akifanya kosa huitwa ni kosa la kawaida ama muislamu akifanya kosa lile lile huitwa Ugaidi !!! Hivyo ni juu yako kutopima kwa mapimio ya wenzio na huko ndio utawajua vizuri ni nani hasa Magaidi.

Bush, Obama na Maraisi wote wa Marekani ni Magaidi wakubwa ila hamna anayethubutu kuwaita Magaidi kwa kuwa tu sio Waislamu, pamoja na yote Uislamu utanusuriwa tu, ewe Mola wetu inusuru dini yako na utupe ushindi.
 
Back
Top Bottom