Clouds fm ni tawi la Uhuru Habari cooperation?

Clouds fm ni tawi la Uhuru Habari cooperation?

JETM

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2016
Posts
435
Reaction score
378
Kwa jinsi anavoongea hassan ngoma kuhusu watumishi wa umma kurejesha fomu tume ya maadili kama mh Raisi alivyofanya unaona kabisa huyu mtu kama si yy basi ni mpango maalum walikokubaliana na mhariri/msimamizi wa vipindi. Huwezi kusema mtu aliyelazwa hospital atoke ili aende kurejesha kabla ya muda. Au kama upo mortuary utoke ukarejeshe. Sasa jiulize mortuary unatokaje.
 
ninecheka mpaka basi....................madaraka matamu bhana asikuambie mtu waweza sema chochote.................''namtaka SWALA alie hai aje achinjiwe hapa nimle'' na watu hufanya hivyo.................!!!!
 
Back
Top Bottom