Katikati ya mwaka huu unaoishia, kulitolewa agizo na kamanda mkuu wa usalama barabarani, kwamba ni marufuku magari,pikipiki kufungwa taa zenye mwanga mkali (sport lights) na hata wauzaji hawaruhusiwi kuwa nazo.
Ajabu ni kwamba agizo hilo lilitekelezwa kwa muda mfupi Sana, tukashuhudia kuanza kukamatwa kwa magari na pikipiki zenye mataa hayo.Hivi sasa hamna kitu, unakutana na malori na gari ndogo wamewasha sport light na hakuna wa kukamata wala kukemea.
Kit ukweli dereva usiombe kukutana na mwanga wa haya mataa usiku,ni rahisi sana kutoka nje ya barabara. Hebu polisi Usalama lifanyieni kazi hili swala,madereva wa masafa tunapata shida sana na hii kadhia.