Ingekuwa Vipi Maisha ya Sasa Bila Internet?

Ingekuwa Vipi Maisha ya Sasa Bila Internet?

CHA The GREAT

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2010
Posts
651
Reaction score
855
Ni swali rahisi sana, ila ndani yake limejaa maana pana sana ambayo ukiitafakari juu ya ulimwengu wa TEKNOHAMA, utapata majibu lukuki, hasa kwa kuzingatia mazingira uliyopo kwa sasa. Mimi ninayo majibu ya kwangu, yule anayo ya kwake na wewe unayo ya kwako.

Kwa kuwa mimi ni muanzisha mada, ningeomba nikuulize ndugu msomaji, swali hili ambalo linaweza kuwa na jibu moja ama majibu zaidi ya moja, mawili, matatu n.k.

Swali lenyewe ni hili na rahisi sana. Kamba.......Ingekuwa vipi (kwa kuzingatia mazingira unayoishi) bila mtandao wa internet na mitandao ya kijamii? Ni hivyo tu.
 
Back
Top Bottom