Maoni yangukuhusu Askofu Kakobe.

Maoni yangukuhusu Askofu Kakobe.

TumainiEl

Platinum Member
Joined
Jan 13, 2010
Posts
7,276
Reaction score
14,319
Mimi nadhani busara inanguvu kuliko hasira na majibizano. Askofu Kakobe ni mtumishi wa Mungu ameamua kusema mambo yanamuhusu mkuu wa nchi..
The best way kuepusha laana na mikosi kwa kujibizana na watumishi wa Mungu ni either kukaa kimya au kutafuta wazee wakamsikilize alimanisha nini full stop.
Vijana kutumika ama kujipeleka front kujibizana ns viongoz wa Dini ni hatari kwa ustawi wa kwetu binafsi na taifa..
Hekima inanguvu kuliko kitu chochote...
Tuache siasa kwenye mambo yanahusu dini embu tuziachie idara husika zifanye kazi yake nasote tuwe kimya...
Rais amekaa kimya na sisi tuige mfano hakuna haja yakutafuta misifa kwenye issue inahitaji watu nyeti kuifanyia kazi..
Ccm ni chama kikubwa na vijana nilazima tuwe na hekima tusije leta majanga kwa kizazi chetu.
Naiman wapo watu wenye busara na hekima watalijibu hili..
Kidumu chama chamapinduzi.
 
Pumba tupu! Hakuna jinsi Dhalimu akatubu tu dhambi zake chungu nzima zinazomtafuna kila kukicha mara utamsikia niombeeni mara nina frustrations zangu. Uovu ni kitu kibaya sana na KAMWE haujawahi kumuacha yoyote yule salama.

Back
Top Bottom