Kwanini wakristo wanauawa kinyama mataifa ya kiarabu?

Kwanini wakristo wanauawa kinyama mataifa ya kiarabu?

Namalenga

Senior Member
Joined
Dec 7, 2017
Posts
146
Reaction score
72
Wana jamvi twaweza toana tongotongo kwa adha wanayoipata wakristo wa Koptic huko Alexandria na kusini mwa jiji la Cairo Misri, tumekuwa tukisikia matukio kadhaa ya wakristo kuuawa katika nchi ya Misri ambayo bila shaka inajinasibisha ni nchi ya kiialamu. Kwa wataalamu wa dini ya kiislamu ni haramu kwa mtu asie muislamu kuishi kwenye nchi ya kiislamu?

Tumeshuhudia kwa uwingi mkubwa wahamiaji wa nchi za kiarabu wanaokwenda huko ulaya hasa nchi za kikristo wakilazimisha kujenga misikiti na hakuna ambae anawazuia, mfano nzuri ni Ujerumani. Kwanini wao waarabu wanakataza na kuwaua watu ambao si waumini wa dini ya kiislamu katika mataifa yao? Rejea hoja ya wanafunzi wakimbizi wa kiarabu katika jiji la Toronto ambao walikuwa wanataka uongozi wa chuo kuondoa nyama ya nguruwe isiuzwe kwenye canteen ya chuo.

Kwa mwenye uelewa wa jambo hili bila mihemko ya kidini.
 
Mkuu wanauwa kwa sababu hawataki kumkubali Allah (sw) kuwa mola wao. Ni hayo tu. Siku wakimkiri Allah basi mambo yao yatakuwa mswano.
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Shemegi wa Mtume Mohamad(SAW),yaani dada ake Bi Khadija mke wa mwanzo wa Mtume alikuwa Mkristo na ni mmoja katika waliotafsiri Injili(biblia),lakini Mohamad hajawahi kumfukuza wala kumlazimisha aingie kwenye Uislam

Vile vile kuna mjomba wake mtume Mohamad(SAW) kwa jina anaitwa Abuu Talib yeye alikuwa anamsaidia sana mtume kwababu huyu jamaa alikuwa tajiri sana,na Muhammad(SAW) hajawahi kumlazimisha hata siku moja aingie kwenye Uislam,Abuu Talib amefariki akiwa sio mwislam

Sasa hivi ngonjera zako kuwa muislam haruhusiwi kuishi katika nchi isiyo ya kiislam au kinyume chake umezitowa wapi....,Mkuu acha kuonge kitu usichokijua,kama unataka kiki kajiunge na CCM

Hawa wanaouana wako kama wewe hawajui wanachokifanya,mungu atawasamehe
 
Mkuu wanauwa kwa sababu hawataki kumkubali Allah (sw) kuwa mola wao. Ni hayo tu. Siku wakimkiri Allah basi mambo yao yatakuwa mswano.
Kwanini wanakimbilia nchi za kikristo ambazo hawamjui huyo ala wakishatifuana? Kwanini wasiria wasiende saudia na badala yake wa naenda ulaya mkuu?
 
Back
Top Bottom