Askofu wa Jimbo Kuu Katoliki la Arusha Josephat Lebulu ameng’atuka, nafasi yake kuchukuliwa na na Askofu Isaac Amani

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,898
Askofu mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Arusha, Josephat Lebulu ameng’atuka leo, Katibu mkuu wa TEC, Raymond Saba amethibitisha.

lobulu.jpg

Askofu wa Jimbo Katoliki Moshi, Isaac Amani ameteuliwa kuwa askofu mkuu mpya wa Jimbo Kuu Katoliki la Arusha,Katibu mkuu wa TEC, Raymond Saba amesema

amani.jpg
 
Kutokuoa kwa wapadri au maaskofu hakuna backup yoyote ya maandiko, sifa za askofu ambazo paulo alimfundisha timotheo ni kua na mke mmoja.

Hii ya maaskofu kutokua na wake sijui imetoka wapi.

Ndio maana watu wote wenye akili akiwemo papa Francis wanataka kufuta huu utaratibu usio na maana.

Baba askofu nenda ukajitwalie mke mwema uwe unatafuna.. chagua muumini wako mtiifu kati ya waumimi uwe unatafuna.
 
Kutokuoa kwa wapadri au maaskofu hakuna backup yoyote ya maandiko, sifa za askofu ambazo paulo alimfundisha timotheo ni kua na mke mmoja.

Hii ya maaskofu kutokua na wake sijui imetoka wapi.

Ndio maana watu wote wenye akili akiwemo papa benedict wanataka kufuta huu utaratibu usio na maana.

Kwakweli haya makitu ukiwa nayo huwezi kufanya kitu kikaenda, ni mateso mno!

Nawaheshimu sana mapadre
 
Kutokuoa kwa wapadri au maaskofu hakuna backup yoyote ya maandiko, sifa za askofu ambazo paulo alimfundisha timotheo ni kua na mke mmoja.

Hii ya maaskofu kutokua na wake sijui imetoka wapi.

Ndio maana watu wote wenye akili akiwemo papa benedict wanataka kufuta huu utaratibu usio na maana.

Baba askofu nenda ukajitwalie mke mwema uwe unatafuna.. chagua muumini wako mtiifu kati ya waumimi uwe unatafuna.
Kwa nini unataka kuwa padre au askofu na pia uoe? Unataka kuoa tafuta mke uoe uishi kama muuni unataka kuwa mkleri hakuna kuoa huo ndio msimamo Wa kanisa katoliki
 
Hujasikia misimamo isiyo na msingi kama hii papa Benedict amesema anaibadilisha. Ni misimamo isiyo na msingi wowote na wala haina mashiko yoyote.

Huko Australia kanisa katoliki limepewa masharti, liruhusu mapadri na maaskofu kuoa au lipambane na mkono wa sheria, hii ni baada ya maaskofu na makadnari wakubwa huko kukamatwa wakilawiti watoto, tena wengine wako karibu kabisa na papa na wengine ni washauri wa karibu wa papa.

Papa Francis amesema huu utaratibu ataufuta. Watu wawe huru kuoa au kuolewa.
 
Ninakutakia mapumziko mema ya kustaafu Baba Askofu Mkuu Josephat Lebulu, Jimbo Kuu la Arusha litakukumbuka kwa mengi uliyoyafanya yanayoacha alama.
 
This news reminds me 2012 June 21 nilipobwaga manyanga na kuachana kabisa na Upadri.
Miezi miwili baadae (August) nikatambua dini ya haki isiyo na shaka ndani yake.
Allahu Akbar.
 
Hujasikia misimamo isiyo na msingi kama hii papa Benedict amesema anaibadilisha. Ni misimamo isiyo na msingi wowote na wala haina mashiko yoyote.

Huko Australia kanisa katoliki limepewa masharti, liruhusu mapadri na maaskofu kuoa au lipambane na mkono wa sheria, hii ni baada ya maaskofu na makadnari wakubwa huko kukamatwa wakilawiti watoto, tena wengine wako karibu kabisa na papa na wengine ni washauri wa karibu wa papa.

Papa Ben amesema huu utaratibu ataufuta. Watu wawe huru kuoa au kuolewa.

Kwa yale mamilioni ya sadaja si kila demu atamgombania padri
 
Back
Top Bottom