BARUA KWA NAFSI YANGU 2017 - 2018

BARUA KWA NAFSI YANGU 2017 - 2018

MUBIKU

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2014
Posts
284
Reaction score
388
kwanza kabisa nianze kwa kumshukuru m/mungu muumba wa ardhi na ardhi, pia na vilivyopo ndani yake.
Mwaka 2017 ulikuwa mwaka wa baraka sana kwangu ijapokuwa ugumu ulipata kutokea miez hii sita ya mwisho ila ndio maisha, kiujumla katika mwaka huu 2017 nimepata kujifunza mengi sana hasa katika nyanza ya kuimarisha maisha yangu leo namua kuiandikia nafsi yangu barua hii mwishoni mwa mwaka huu na kuukaribisha mwaka 2018.
kupitia 2017 changamoto zilikuwepo katika nyanza zifuatazo:-
1.PESA
2.ELIMU
3MAPENZI,

1.PESA.Nikianza na hili limenifanya niweze kufikia lengo ambalo nilijiwekea tangu utoto na kwa mwaka huu 2017 nimeweza kulitimiza, hivyo huu mwaka ulikuwa wa kipato kikubwa kwa nusu ya muhula wa mwnzo yaan miez sita na kupungua kwa nusu ya kipate nnachochkua kwa sasa cha mshahara ambacho ndo ntaingia nacho 2018. Kama ntamua kuwa mzembe na kushindwa kufungua mianya ya pesa (UWEKEZAJI/BIASHARA)ntaaishi maisha magumu sana, hivyo mwaka 2018 nimepanga niwekeze
sana ili niongeze pesa zangu.

2.ELIMU.Namshukuru mungu nimeweza kufikia robo ya elimu niliyopanga kuipata hivyo naahidi 2018 ntajiendleza zaidi ili nifikie malengo, mbali na changamoto nnazopitia ofisini kwangu kunyimwa rusuhusa ya kujiendeleza kimasomo, hivyo sina budi kupambana na hali yangu ili nifikie kuhutimu elimu ya chuo

3.MAPENZI.Hapa kidogo kwenye mwaka 2017 nilipat kuteseka sana juu ya mapenzi hasa katika swala la hisia na uaminifu, hivyo na ahidi juu ya mwaka 2018 kamwe sito kuwa yule tena nilie teseka juu ya mapenzi na hisia kwan mwarobaini wa hili nimeupata.

HITIMISHO:
  1. Mwaka 2018 inabidi tubadilike sana kutokana na ukweli kwamba mambo na mifumo ya maisha imebadilika sio ile tanzia yetu tuliyo izoea hivyo kuna mawili, (i)KUENDELEA KULALAMIKA NA KUUMIA AMA (ii)KUIKUABALI AHALI NA KUPAMBANA ILI TUFANIKIWE.

KUMBUKA:- Maisha ya sasa ni vita , hakuna atakae kupiginia vita hii, 2018 Napambana na hali yangu.
 
Back
Top Bottom