DR LOUIS SHIKA leo alitembelea ktk mkutano wa kufunga kampeni za udiwani kata ya Mhandu. Shika amesema kuwa CCM ikishinda kata zote 43 ITAPENDEZA Zaidi.
#Note Pembeni yake ni aliyekuwa katibu wa...
Muda huu Jengo la Studio za Clouds Media Group linaungua moto
More update
=======
UPDATES;
=> Sehemu ya jengo la kituo cha Chouds Media Group linaungua moto muda huu. Juhudi za kuuzima moto...
Nashindwa hata kuandika baada ya kusoma yaliyomo kwenye muswada huo. Kifupi ni maumivu, enyi TUCTA, enyi wabunge, tusaidieni hiki kinachokwenda kufanyika kwa kweli ni kutiana umasikini...
Maisha kweli yana siri kubwa sana, wakati huu wa Magufuli vilio vingi vimesikika kwa watanzania kwamba maisha ni magumu na pesa imepotea sana, ajira hakuna, vitu vinapanda bei sana na kadhalika na...
Habari za muda huu waungwana,
Naamini mapambano yanaendelea katika kufanikisha ujenzi wa Tanzania bora......
Jana mnamo saa moja na robo asubuhi nlipigiwa simu na kupewa taarifa kuwa mmoja wa...
Wakuu,
IGP Simon Siro ameahidi kulipatia Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani Magari mawili kukabiliana na uhaba wa magari. Magari hayo ni sehemu ya magari 50 yaliyokutwa bandarini DSM kufuatia ziara...
Heshima kwenu wana Jf, nimekuta kamshahara kangu kamefyekwa na bodi ya mikopo ya elimu ya juu wakati sijafaidika na mkopo huo kwani nilisoma kwa kutumia vyanzo vingine vya mapato.
Nifanyeje ili...
Habarini wakuu kama tthred inavosema, mwenye kukifahamu kiwanda cha nywele cha ANGELS kilipo au mwenye details na hiko kiwanda ani pm
Natangulia shukrani
Hi great thinkers.
Leo mchana nimejikuta namtamkia fundi uashi nanukuu "hivi wewe una laana?" akanijibu mbovu nikampa vitasa kadhaa mdomoni. Hivi sasa kavimba mdomo eti kaenda kunishitaki...
Kama tittle inavoelezea, naomba anaeijua vizuri south africa kuhusu upatikanaji wa kazi, mishahara yao kwa kazi tofauti tofauti kulingana na kazi, vipi upoje life security yake, kipi...
Yaani hapa natazama channel ya wanyama, wanaonyesha documentary ya story ya taasisi zinazojihusisha na kuwatunza na kuwaangalia wanyama ambao wapo hatarini kutoweka, kama faru, tembo, na wengineo...
Habari wanajamvi,
Ni zaidi ya mwaka mmoja sasa tangu Serikali ifute tozo za ushuru katika usafirishaji wa mazao ya chakula kutoka Wilaya moja hadi nyingine.
Waziri wa fedha Philip Mpango wakati...
Kesi za udhalilishaji wanawake na watoto katika mkoa wa Mjini Magharibi Unguja zimepungua kuanzia Januari hadi Septemba 2017 ukilinganisha na mwaka jana.
Kesi hizo zilizokuwa zimeshika kasi...
Yaaaniii n gari kadhaa zinasimamishwa na traffic
Baadae unaonaa wanaingia kwenye gari wanatoka gari linaendelea na safari
Jamboo hil linafanyika bila hofu kabisa tuwe bas na hofu ya Mungu...
Leo kimchezomchezo tu nimejishindia laki 1 baada ya mabishano baina yangu na jamaa zangu.. Kama mjuavyo nchini Kenya Uhuru Kenyatta akiwa anaapishwa ilitegemewa rais Magufuli kuwapo katika hafla...
Wapendwa,
Nimekuwa nikikutana na kanisa hili katika huduma zangu za kiroho na muda mwingi sikulipeleleza sana.
Ila hapo jana nilikutana na muumini wa kanisa hili,japo hakujieleza vizuri na...
Dar es Salaam. Walimu 12 na mkurugenzi wa Shule ya Msingi Mount Pleasant iliyopo Tabata jijini Dar es Salaam, wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na mashtaka matano...
IGP Simon Sirro amesema silaha zote zilizoporwa na wahalifu katika maeneo mbalimbali ikiwemo katika vituo vya polisi zimepatikana na mtandao wa mauaji ya watu yaliyokuwa yakifanyika Mkuranga...