Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wana JF leo nimeshuhudia usafi kabambe unafanyika pale jengo la NHC Mtaa wa Samora. Jengo zuri maridhawa kabisa lakini limejengwa kwa vioo na kuna floor za vioo zinatazama barabarani. Kwanza...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Katika karne hii ya maendeleo makubwa ya sayansi na TEHAMA, watu binafsi na mashirika /taasi zinafanya bidii kutumia sayansi iliyopo ili kujenga mahusiano/mtandao na watu wengi iwezekanavyo ili...
0 Reactions
1 Replies
637 Views
Kufuatia sera ya elimu bure na kuzuiwa kwa michango mashuleni kumekuwa na mijadala kila kona yenye kusapoti na mingine kupinga hii sera kuwa huku ni kudumaza elimu kwasababu serikali haina uwezo...
0 Reactions
33 Replies
3K Views
It is easy to be popular. It is not easy to be just (Rose Elizabeth Bird- November 2, 1936 – December 4, 1999; California Supreme Court Justice, for 10 years as the 25th Chief Justice of...
0 Reactions
0 Replies
539 Views
Habari za weekend Mimi ni shabiki mkubwa wa the gentle giant siamini kabisa hiki kibao chake Cha hatarii kilinipita hivihivi. Yani Hadi Jana ndio nimekifaham. Alishajitabiria atakufa kwenye huu...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Wiki iliyopita nimeshudia style mpya kabisa ya kusherekea harusi, ambayo inanifanya niilete kwenu wadau mchangie kama inafaa kuigwa na kuendelezwa ama lah! Ipo hivi; Kadi za mwaliko zilielekeza...
20 Reactions
78 Replies
13K Views
Pamoja na nia njema ya mheshimiwa Rais wetu ya kuwasaidia watoto masikini kutosumbuliwa na michango ila hili la kuzuia michango ya waalimu wa muda itaathiri sana ufundishwaji wa masomo ya sayansi...
0 Reactions
31 Replies
6K Views
Wakuu, naomba TANROAD mkoa wa Dar es Salaam wanisaidie kupata mpango wa ujenzi wa Barbara za Dar kwa kiwango cha lami. Naomba kujua Barabara gani zinazotakiwa kujengwa kwa kiwango cha lami kuanzia...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu, habari ya jumamosi? Jana nimepita maeneo ya kinondoni nikakuta pale govornors kuko kimia sana. Nikajua labda kuna shida. Leo hii nampigia mshikaji tukutane govornors ananiambia imefungwa...
0 Reactions
3 Replies
817 Views
Shule za umma kukatazwa kuchangisha, je serikali itakuwa tayari kutoa matumizi mengineyo ya shule na chakula? Michango ya wazazi ndio inayolipa bili ya maji na umeme, na pale ambapo maji ni ya...
2 Reactions
11 Replies
3K Views
Natarajia kuwa Mwanza kwa wiki mbili kuanzia tarehe 22 mwezi huu.Kwa wanaoifahamu Mwanza vizuri ni sehemu gani nzuri kwa starehe Mwanza. Kama hujui usichangie tafadhali.
1 Reactions
38 Replies
17K Views
Rejeeni tangazo la uuzwaji wa viwanja kwa kupitia serikali ya vijiji. Mi binafsi nimeshuhudia mgogoro mkubwa wa viwanja kange kasera kwa watu walionunua kuputia serikali ya kijiji kwani mwenye...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwa wale ambao mnaishi kwenye apartment za NHC, hasa katika jiji hili la Dar es salaam, You can share your experience with us. Gharama zipoje?, vitu gani mnafurahia, vitu gani vinawakera, huduma...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Hi greatest thinkers, Nimeanza ujenzi kijijini sasa hivi nyumba ipo kwenye lenter navuta nguvu nyingine nimalizie.Tatizo kuna baadhi ya watu kijijini wananibeza eti ninajenga chaka bora...
6 Reactions
50 Replies
7K Views
HUJAFA hujaumbika na siku zote Mungu ni mwema na Mungu ana makusudi yake ni wa ajabu kwa sababu maajabu yake ni makubwa na ukuu wa Mungu unajidhihirisha katika muujiza wa watoto mapacha...
32 Reactions
146 Replies
35K Views
Wana janvi la JamiiForums naomba kufahamu kwanini Serikali hii a awamu ya tano imeshindwa kutengeneza miundombinu katika swala zima la elimu naomba nijikite zaidi katika elimu yenye mahitaji...
0 Reactions
2 Replies
960 Views
Tunaishukuru Serikali yetu kwa kupiga marufuku michango katika shule zetu za Msingi na Sekondari lakini pamoja na nia nzuri lakini kuanzia sasa Serikali ione umuhimu wa kupeleka fedha ya chakula...
2 Reactions
35 Replies
3K Views
waku habari zenu, kama kichwa kinavyosema hapo nilikua naomba msaada kwa anayefahamu kuhusu matumizi ya leseni yetu ya udereva.
0 Reactions
1 Replies
709 Views
Hivi ni haki kwa wananchi kukosa huduma ya maji eti kisa KUWASA hawajalipia bili ya Umeme? Je bili ya Umeme nani analipia? Kwa ufahamu wangu navyofahamu, mwananchi ndio analipia. KUWASA lipieni...
1 Reactions
0 Replies
771 Views
Back
Top Bottom