Msaada kwa anayeijua vizuri Afrika Kusini

Bechu

Senior Member
Jan 7, 2017
134
72
Kama tittle inavoelezea, naomba anaeijua vizuri south africa kuhusu upatikanaji wa kazi, mishahara yao kwa kazi tofauti tofauti kulingana na kazi, vipi upoje life security yake, kipi kinahitajika ukitaka kwenda kule, kama huna ndugu wala jamaa utafikaje kule na kazi utaipataje? Nimeuliza haya maswali maana naonaga watu wengi wanakimbilia huko! Na mie nataka nijitose huko
 
Member wa jamii forum ambaye aliondoka mwenzi February 2017, atakusaidia.
Nmemuona sehem humu j forum anawatahadharisha watu wasiende south et hali ngum sana, sitaki kujifunza kwa walioshindwa, nataka nisikie kwa waliotusua na maisha yanaendelea, maana katika 10 walioenda huenda walioshindwa 2.
 
Safari njema mkuu
 
Naona unahamu sana ya kuteseka.
 
Wa south wenyewe wanakwenda kudanga Namibia na Botswana. Kama una ujuzi wo wote utakusaidia katika nchi hizo.
 
Uku kiumeni kikubwa maisha ni km vita kukaza tu unipigie au nicheck WhatsApp kwa ushauri zaidi maisha ya uku +27784696692
 
Kama tittle inavoelezea, naomba anaeijua vizuri south africa kuhusu upatikanaji wa kazi, mishahara yao kwa kazi tofauti tofauti kulingana na kazi, vipi upoje life security yake, kipi kinahitajika ukitaka kwenda kule, kama huna ndugu wala jamaa utafikaje kule na kazi utaipataje? Nimeuliza haya maswali maana naonaga watu wengi wanakimbilia huko! Na mie nataka nijitose huko
Mku ukitaka kwenda mtafute mtu ambaye yuko kule ndo utapata pa kuanzia kwani udhubutu ndo wa muhimu.
Kwani ww uko Mkoa gani
 
Nimekaa Johannesburg miaka saba kwa hiyo ushauri wangu zingatia.
Lakini ukiwa na fani hata kujifunza kusuka kama Wamasai yaani zile Rasta zao ni mtaji wa kutengeneza fedha.
Fani nuengine kaka
 
Babu usije uku sii kuzuri Kwa sasa,kama bongo tu komaa ukouko tena bora we we bado uko Tanzania .baki uko tafuta shughuri ufanye.mi nipo uku mda na nnafanya mipango ya kurudi uko kuja kutafuta maisha nyumbani.uku ukiwa na pesa matatizo.ukiwa huna pia tatizo Huishi Kwa amani full visu. bunduki,yani ni balaa Kwa kweli ,usijeee utajutaaa!!
 
Hayo maneno ungenijibu tayari ukiwa usharud, bado upo huko af unasema usije, acheni hizo bhana tanzania usiilinganishe na south africa, et ukiwa na hela shida ukiwa huna shida, duh! Kwan bongo hujaona watu wanauwawa wenye hela
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom