Vitukuu vya Seyyid Said,vilitoka vinaongra kiswahili na vimewafunza wanafamilia,ukiachilia mbali raia wa kuomba.Nimeona baadhi ya watu waliokuja na Meli ya mfalme wa Oman wakizungumza Kiswahili vizuri. Nilitaka kujua kama kwenye taifa hilo uzungumza Kiswahili
Wapo wengi Sana wazanzibari wenye uraia wa Oman. Wana wajomba kaka Dada nk jeshi la Oman wako hadi maafisa wakubwa wa jeshi wanaoongea kiswahili fasaha kabisa. Mfalme wa Oman Ana nduguze kibao Zanzibar pia hivyo kuna mwingiliano mkubwa wa Oman na ZanzibarNimeona baadhi ya watu waliokuja na Meli ya mfalme wa Oman wakizungumza Kiswahili vizuri. Nilitaka kujua kama kwenye taifa hilo uzungumza Kiswahili
Wako wazanzibari wengi ndugu wa mfalme wa Oman ambao wakitaka kuhamia Oman huwa rahisi kwao na wakienda huwa na haki Sawa na raia wa Oman huwapa vyeo vya serikali au ajira, siasa nk hivyo ukiwaona usishangae Wengine ni wazaliwa wa darajani Zanzibar waliohamia Oman kwa ndugu zao tena wamehamia wakiwa na umri mkubwaVitukuu vya Seyyid Said,vilitoka vinaongra kiswahili na vimewafunza wanafamilia,ukiachilia mbali raia wa kuomba.
Asilimia 36% ni kweliKiswahini ni kiarabu
98% na ndiyo maana tunaambiwa÷Asilimia 36% ni kweli
Sio 98%, na ujue Kiswahili kinatofauti na eneo na eneo, ukikisikia kiswahili cha DRC hakina kabisa maneno ya Kiarabu na kama yapo ni machache sana, kiswahili chao kimejaa Kibantu na maneno ya kifaransa98% na ndiyo maana tunaambiwa÷
kiswahili ni lugha nasibu iliyoanzia pwani ya Afrika mashariki ambapo wenyeji wa UPWA huo uliitwa "aswahili" au "sawahili".
Kiwashili ni kimoja tu,anaeongea tofauti maana yake hajui kutamka maneno ya kiswahili,hakuna cha DRC wala new york.Sio 98%, na ujue Kiswahili kinatofauti na eneo na eneo, ukikisikia kiswahili cha DRC hakina kabisa maneno ya Kiarabu na kama yapo ni kachachesana, kiswahili chao kimejaa Kibantu na maneno ya kifaransa
Kiwashili ni kimoja tu,anaeongea tofauti maana yake hajui kutamka maneno ya kiswahili,hakuna cha DRC wala new york.
Kiingereza ni kimoja pia,hao wengine wameamua kuumiza matamshi ya baadhi ya maneno,ndiyo maana unaambiwa kuna FORMAL ambayo ni ya UINGEREZA hakuna kiingerza cha Naijeria wala kongo,isipokuea INTONATION tu na hiyo inatokana na lugha zao wanazotumia.Kiswahili sio kimoja kaka, Ni kama kiingereza tu, Uk wana Chao, USA wana chao, Jamaica wana Chao, Nigeria wana Chao,
Shelisheli wana Kiswahili chao, kuna sehemu ya Madagascar pia wana chao, Kenya Nairobi na Mombasa kuna tofauti, DRC wana chao, tembea uone kaka, acha kubisha uko nyuma ya QWERTY
Kama umesoma historia ya uhusiano wa Oman na Zanzibar hilo la kawaida sana. Wazanzibar wana nasaba kubwa sana na Waoman.Nimeona baadhi ya watu waliokuja na Meli ya mfalme wa Oman wakizungumza Kiswahili vizuri. Nilitaka kujua kama kwenye taifa hilo uzungumza Kiswahili
We acha ushamba,hao jamaica wanapoongea kiingereza kilichoathiriwa na lugha za kwao siyo maana yake ni kiingereza cha jamaica,Hiyo inaitwa PATWA au FATWA kwakuwa wameweka na vionjo tofauti kabisa,vya lugha zao za makabila yao,lakini ukishasema kiingereza maana yake ni LUGHA ya WAINGEREZA.Kiswahili sio kimoja kaka, Ni kama kiingereza tu, Uk wana Chao, USA wana chao, Jamaica wana Chao, Nigeria wana Chao,
Shelisheli wana Kiswahili chao, kuna sehemu ya Madagascar pia wana chao, Kenya Nairobi na Mombasa kuna tofauti, DRC wana chao, tembea uone kaka, acha kubisha uko nyuma ya QWERTY
We acha ushamba,hao jamaica wanapoobgea kiingereza kilichoathiriwa na lugha za kwao siyo maana yake ni kiingereza cha jamaica,Hiyo inaitea PATWA au FATWA kwakuwa wameweka na vionjo tofauti kabisa,vya lugha zao za makabila yao,lakini ukishasema kiingereza maana yake ni LUGHA ya WAINGEREZA.
huyo waziri ni mpemba, ila ni raia wa Oman, ila Omani familia nyingi huwa zinaongea kiswahili, sio official lakini mkikutana watu wanaongea kiswahiliNimeona baadhi ya watu waliokuja na Meli ya mfalme wa Oman wakizungumza Kiswahili vizuri. Nilitaka kujua kama kwenye taifa hilo uzungumza Kiswahili
Pia mfalme wa Oman asili yake ni znzWapo wengi Sana wazanzibari wenye uraia wa Oman. Wana wajomba kaka Dada nk jeshi la Oman wako hadi maafisa wakubwa wa jeshi wanaoongea kiswahili fasaha kabisa. Mfalme wa Oman Ana nduguze kibao Zanzibar pia hivyo kuna mwingiliano mkubwa wa Oman na Zanzibar
Asiyetaka Muungano atoke yeye atuachie Zanzibar (kwa maana ya ardhi)wazanzibar ni wale wale wa Oman kwani jeuri ya kuvunja MUUNGANO unadhani wanaitoa wapi.. na wakijitoa leo kwenye Muungano wanatuacha kiuchumi haki ya Mungu