zugazuga na mimi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2017
- 241
- 77
Habarini wakuu kama tthred inavosema, mwenye kukifahamu kiwanda cha nywele cha ANGELS kilipo au mwenye details na hiko kiwanda ani pm
Natangulia shukrani
Natangulia shukrani
ok, je kwa tanzania hawana ata branch loloteangel nadhani kipo kenya mkuu
shukrani. mbgl sehemu ganihapa bongo wana mawakala nadhani ila kuna kiwanda kipo mbagala ila sio angel kuna viwanda vingi vya brand tofauti mkuu
sijui ni mbagala ipi ila ulizia ukifika huko kuna rasta kwa jumla unapata hata kwa sh mia tanoshukrani. mbgl sehemu gani
asante kwa kunifungua ubarikiwe sanasijui ni mbagala ipi ila ulizia ukifika huko kuna rasta kwa jumla unapata hata kwa sh mia tano
unataka rasta au weavin mkuu?asante kwa kunifungua ubarikiwe sana
rastaunataka rasta au weavin mkuu?
sehemu gani kariakooFika kwa Wakala wao kariakoo
zama mbagala kiwandani maana rasta watu hawachagui zozote wanasuka tu.japo juzi nilichukua rasta moja imeandikwa masai ya angel ni buku jumla kariakoo msusi alisema ni nzuri sana .ndo nimesuka hapa ila ipo kidoogo maana bunda tano limeishia kichwani japo ni chacherasta
sawa mkuuzama mbagala kiwandani maana rasta watu hawachagui zozote wanasuka tu.japo juzi nilichukua rasta moja imeandikwa masai ya angel ni buku jumla kariakoo msusi alisema ni nzuri sana .ndo nimesuka hapa ila ipo kidoogo maana bunda tano limeishia kichwani japo ni chache
shukraniMbagara rangi tatu ukifika we uliza utaelekezwa
Yaani kuhangaika kote huko mtu anatafuta nywele bandia.mkikaa na nywele za asili mtakufaa? Kazi kujishebedua tu looooooo!sijui ni mbagala ipi ila ulizia ukifika huko kuna rasta kwa jumla unapata hata kwa sh mia tano
huna akili weweYaani kuhangaika kote huko mtu anatafuta nywele bandia.mkikaa na nywele za asili mtakufaa? Kazi kujishebedua tu looooooo!