Sehemu ya Jengo la Studio za Clouds Media Group yaungua moto

Sehemu ya Jengo la Studio za Clouds Media Group yaungua moto

KakaKiiza

Platinum Member
Joined
Feb 16, 2010
Posts
11,948
Reaction score
9,464
Muda huu Jengo la Studio za Clouds Media Group linaungua moto

More update

=======

UPDATES;


=> Sehemu ya jengo la kituo cha Chouds Media Group linaungua moto muda huu. Juhudi za kuuzima moto huo bado zinaendelea.

=> Chanzo cha moto huo bado hakijajulikana

=> Juhudi za kuuzima moto huo Katika kituo cha Matangazo cha Clouds zinaendelea, ambapo kilichoungua ni chumba cha kurushia matangazo.

==================
=> Tayari moto umeshadhibitiwa.

=> Sebastian Maganga, mkuu wa maaudhui na uzalishaji wa Cloud Media Group, amesema moto umetokea kati ya saa tatu asubuhi hadi saa nne , athari saizi ni vigumu kuzijua. Eneo ambalo limeungua ni chumba cha kurushia matangazo ya televisheni.

=> Hamna majeruhi wala vifo, na thamani ya uharibifu haijafahamika bado. Chanzo cha moto hadi sasa bado hakijafahamika.

=> Juhudi za uokoaji wa mali zinaendelea.




7964B80D-C1D0-4CAD-BA38-AEAE652A2A08.jpeg
IMG_1282.JPG
 
Back
Top Bottom