Kama mbwai iwe mbwai tuYani hizi harakati za Serikali kupambana na Madawa, Vijana wanaona ni movie bado tu wanajiripua?
ka photo hakuna?, jina basi?Asubuh hii tumepoteza nguvu kazi nyingine kwa taifa, Kijana wa kitanzania akamatwa na madawa ya kulevya asubuh hii uwanja wa ndege wa JKI. So sad
Hapana TUMEOKOA nguvu kazi kadhaa ambazo angeenda kuziharibu.Asubuh hii tumepoteza nguvu kazi nyingine kwa taifa, Kijana wa kitanzania akamatwa na madawa ya kulevya asubuh hii uwanja wa ndege wa JKI. So sad
Kama umewahi hivi kupost,Asubuh hii tumepoteza nguvu kazi nyingine kwa taifa, Kijana wa kitanzania akamatwa na madawa ya kulevya asubuh hii uwanja wa ndege wa JKI. So sad
Mbona hapo ndio tumepata nguvukazi mpya?Asubuh hii tumepoteza nguvu kazi nyingine kwa taifa, Kijana wa kitanzania akamatwa na madawa ya kulevya asubuh hii uwanja wa ndege wa JKI. So sad
Magufuli atamsamehe tu ila hapendi watu washikwe ugenini mkuu.Alikuwa anatokea Nchi gani?
Unga aliumeza au aliweka parking?
Huyo Jamaaa Kaisha kipindi kigumu kweli
Ova
Hasamehewi mtu sahv ukikutwa n'a grm zaidi ya 200 kesi ni kubwa,kuna watu Kama 7 mlpaka sasa wako ndani walikutwa n'a uzito huo wanakwrnda mwezi wa 5 kesi utakashikaji wa fedha....wauzaji wengi wamekimbilia à.kusiniMagufuli atamsamehe tu ila hapendi watu washikwe ugenini mkuu.
Wewe unaonaje uwiano wa kesi na hukumu upo sawa??Hasamehewi mtu sahv ukikutwa n'a grm zaidi ya 200 kesi ni kubwa,kuna watu Kama 7 mlpaka sasa wako ndani walikutwa n'a uzito huo wanakwrnda mwezi wa 5 kesi utakashikaji wa fedha....wauzaji wengi wamekimbilia à.kusini
Huko naona wanaonganisha kazi juu kwa juu
Ova
Alikuwa akiingia au akitoka?Asubuh hii tumepoteza nguvu kazi nyingine kwa taifa, Kijana wa kitanzania akamatwa na madawa ya kulevya asubuh hii uwanja wa ndege wa JKI. So sad
But THE MAIN TRANSIT ni HAPA.Hasamehewi mtu sahv ukikutwa n'a grm zaidi ya 200 kesi ni kubwa,kuna watu Kama 7 mlpaka sasa wako ndani walikutwa n'a uzito huo wanakwrnda mwezi wa 5 kesi utakashikaji wa fedha....wauzaji wengi wamekimbilia à.kusini
Huko naona wanaonganisha kazi juu kwa juu
Ova