Wavuvi 3 Watoswa Baharini Mafia

Wavuvi 3 Watoswa Baharini Mafia

Boniphace Kichonge

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2017
Posts
1,605
Reaction score
1,958
Wadau
Inadaiwa kuwa wavuvi 3 wametoswa baharini huko mafia na hii baada ya kukutwa wakivua katika eneo la hifadhi ya bahari.

Kufuatia madai hayo Naibu Waziri Uvuvi na Mifugo Mhesh Abdalah Ulega amemuagiza mkuu wa Wilaya Mafia kuunda Tume mara moja kuchunguza suala hilo. Amesema ni kosa kisheria kumtosa mtu baharini hata kama amekutwa abavua sehemu isiyoruhusiwa.

Hata hivyo wavuvi hao ambao pia walipokwa mtumbwi, leseni na simu kabla ya kutoswa baharini walifanikiwa kuokolewa na wavuvi wenzao masaa manne baadaye.



Source: MCL
 
Hao walofanya hivyo vitendo soon watapandishwa vyeo. Utadhani Kama wapo hapo kukomoa wenzao vile
 
Hiv watu wengine wanakuwa na akili zilizojaa kamasi au nini? Wewe unaamua kumuua mwenzako kwa sababu tu anatafuta mlo wa siku tena samaki.

Ukimkamata kama kavunja sheria kwa nn usimpeleke kwenye vyombo vya sheria? Kwa nn watu wanakuwa wakatili.namna hii.

Hao waliowatosa baharini ni sawa na uuaji tuu huo...
 
Back
Top Bottom