Taasisi, Mashirika na Mitandao ya Kijamii Nchini: Facebook ama JF?

Naisujaki Lekangai

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
1,340
Reaction score
1,378
Katika karne hii ya maendeleo makubwa ya sayansi na TEHAMA, watu binafsi na mashirika /taasi zinafanya bidii kutumia sayansi iliyopo ili kujenga mahusiano/mtandao na watu wengi iwezekanavyo ili kufaulu katika maisha.
TEHAMA imekuwa mkombozi mkubwa katika katika kufanikisha azma hiyo ya kuongeza thamani kwenye maisha.
Matokeo yake tunayaona kwenye akaunti nyingi zilizofunguliwa kwenye mitandao ya kijamii kama facebook, instagram nk.

Hapa nchini baadhi ya mashirika yana akaunti facebook na kwingineko ila sijayaona sana kwenye JF.

Huwa najiuliza, kukimbilia fb, instagram na kwingineko na kuiacha JF ni sababu za kiufundi au ni nini?Mara nyingi nawaza kwamba wanaidharau JF kwa sababu ni ya tanzania kwa hiyo haina hadhi.Au sababu ni nini hasa? Taasisi za uelimishaji na uburudishaji kama ITV,EATV, STARTV sijawaona hapa JF ila fb wamejaa.

Ni nini hasa sababu?
 
Kila kitu kina umuhimu wake ...hapa JF hakuna sehemu yakuifadhi picha zako ...lakin Fb ipo na instagram ipo.
Then Fb unakutana na watu wa kila aina mpaka uliosoma nao madrasaa...pia instagram ukiwa na followers weng unatengeneza pesa .Kupitia matangazo.

Lakin Jf ni nzur kwasababu kuna Great thinker wengi..na wasomi wapo kibao..
 
Back
Top Bottom