impongo
JF-Expert Member
- Feb 18, 2015
- 8,846
- 7,904
Ni ukweli mtupu tunajidhalilisha wenyewe
1.Tunaweka nywele (mawigi) ili tufanane na wazungu kwa nini tusidharaulike?
2.Tunaweka mikorogo (kujichubua) ili tufanane na wazungu kwanini tusidharaulike?
3.Tunajichora mwili mzima tufanane na wazungu kwanini wasitudharau?
4.Tunasoma shuleni kwa kutumia lugha zao utadhani hatuna lugha zetu mama kwanini wasitudharau?
5.Tunashindwa kusimamia Rasirimali zetu ili kujenga inchi zetu kuwa na uchumi imara kwanini wasitudharau?
6.Tunakosa Uzalendo tunabaguana sisi kwa sisi kwa nini wao wasitudharau?
7.Wahamiaji haramu kila kukicha wanazama Baharini wakielekea kusaka maisha bora ulaya na America wakati sisi ndio wenye rasirimali lakini tumeshidwa kuzitumia Serikali zetu zina viongozi mafisadi wasio kuwa hata na chembe ya utu kwanini wasitudharau?
8.Vijana wanaomaliza vyuo hawajui kesho yao wanatamani kwenda ulaya kusaka maisha bora wakati tuna rasirimali za kutosha kuwasaidia vijana wote lakini viongozi wa Serikali za kiafrika na familia zao wamekuwa ndio wenye haki miliki ya kila kitu vijana masikini hawana mutetezi kwanini tusidharaulike?
9.Gharama za kujiajiri katika inchi za kiafrica kwa vijana wanaomaliza vyuo ni kubwa kwa maana ya kodi katika mamlaka husika mwanafunzi anayemaliza chuo ametoa pesa wapi za kulipa kodi?
10.Kama hatutaki kujenga uchumi imara tunawategemea wao kwanini wasitudharau?
11.Haiti ni maskini wakutupwa wanachojua ni uchawi tuu hawataki kufanya kazi ni kubwia unga na ugolo bangi kwanini tusidharaulike?
MWISHO KAMA HATUWEZI KUWA WAZALENDO KUSIMAMIA RASILIMALI ZETU KUKUZA UCHUMI HATUNA JINSI LAZIMA WATUTUKANE TU.
Tukubali tutukanwe tujue mapungufu yetu tujilekebishe kukuza uchumi wetu.